Computer inaleta chenga pamoja na mawimbi.

Vumbi linaweza kuwa ni tatizo pale ambapo kompyuta haijatumika kwa muda mrefu. Jaribu kuifungua na kuchomoa componets zinazo attach kwenye MOBO halafu puliza kwa kutumia dust spray cleaner. kama tatizo litaendele jaribu kuazima monitor ya mtu mwingine uone kama itawaka.
 
Back
Top Bottom