Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Ukishaoa unaheshimika coz kuna changamoto nyingi sana humu ndani. Muulize Mandela!
Hilo nalo neno. Hizo ndoa zenyewe zinazopigiwa chapuo ni ndoa basi. Bill Clinton alikuwa na huyu mama ambaye ndie Secretary of State wa Obama sasa. Alivulia nguo na ka-intern tu ndani ya Ikulu.Kinachoongoza ni akili ya mtu na si utupu wake. Unless kama kuna tafiti zilizofanyika kuthibitisha kuwa ubungo wa binadamu siku hizi upo kwenye utupu.
Duniani kuna mifano mingi ya viongozi wakuu wa nchi ambao hawakuwa na wake kwa kutokuoa kabisa au kwa kutaliki
Ndoa sio factor katika uongozi bora wa mtu.
Kinachoongoza ni akili ya mtu na si utupu wake. Unless kama kuna tafiti zilizofanyika kuthibitisha kuwa ubungo wa binadamu siku hizi upo kwenye utupu.
Ndoa ni kielelezo cha nidhamu
wingi huu ni ule wa zaidi ya mmoja au wa zaidi ya wale wa upande wa pili?
Kule Marekani na Uingereza VIONGOZI wanaongoza kwa mujibu wa SHERIA. Wanaongoza kwa mujibu wa KATIBA zao. Hapa kwetu ukiwa na mke na watoto wenye nguvu wanakuwa WABIA wako kwenye URAIS. Wanakusaidia kuteua. Wanakusaidia kutawala. Wanakuandalia hotuba. Wanakulazimisha kuiba. Wanakuingiza kwenye madili ya ajabu. Unafanya biashara hadi IKULU yetu.
AshaDii,Mkeshaji unapozungumzia ndoa unawaza tu kuwa kuna kufanya? Samahani kama nitakukwaza una umri gani? Walau nipate picha naongea na mtu wa level gani ili nioanishe mchango na msimamo wako dhidi ya hilo.
Ndoa maana yake sio tu kufanya tendo la ndoa ni zaidi ya hilo. Inahusisha kuishi kwa ushirikiano hasa kwa familia zetu hizi ambazo maisha ya ndoa ni extended. Inahusisha uwajibikaji na reliability ya mtu, kwamba mtu una responsibilities as well as obligations na wazitimiza ipasavo (na ukikwama sio kwa kutaka bali kwa maisha halisi kuwa ya mkwamo). Inahusisha nidhamu, haina maana kuwa mtu ambae hajaoa hana nidhamu, ila ukweli unabaki kuwa mtu ambae ameoa, anafamilia na ni kiongozi wa hio familia walau probability ya nidhani hapo ni kubwa kuliko ambae hajao.
Tuache Siasa za ushabiki! Usikurupuke tu na kusema kuwa kutooa ni sawa sababu tu kuwa anaezungumziwa ni CDM. Hilo ni wazi kuwa ndoa ina heshima yake mbele ya jamii, kuwa kama kiongozi hata waweza onesha sampuli wa uongozi ambao unaweza toa kwa jamii kwa kupitia aina ya uongozi unaotoa katika a taasisi ambayo ni dongo kuliko serkali (which in this case is the family).
najua wengi watapinga hapa lakini ujumbe umefika......nchi kama Marekani sifa kuu ya kwanza ni mke kw amgombea uraisi au kiongoz mwingine..........kuwa na weak family au poor relation au huna kabisa ni kigezo cha kukosa kura..................na hapa suala kubwa ni kwa nini CDM ina idadi kubwa ya watu wanaofanana status zao???viongozi wasiooa au kuolewa wamejaa kule....why?? Mnyika alitafutwa Clouda Kipindi cha usiku azungumzie japo kidogo tu upeo wake wa masuala y amapenzi akakata simu.........my friend SIASA na MAPENZI ndo vinavyorun dunia........
Najaribu kuamini kwamba una point ya msingi unayotaka kuifikisha kwa wadau lakini bado sijakupata vizuri. Usizungumzie marekani kwakuwa wao wanaongozwa na katiba na katiba yao iko vizuri sana haitoi loophole kwa kiongozi yeyote kutumia familia yake kumshauri nini cha kufanya.
Unaweza kutoa mifano michache ya viongozi wa Kitanzania walioshindwa kutekeleza majukumu yao kikamilifu kwa sababu ya kutooa ama kutoolewa? nipe mifano yoyote bila kujali ni wa chama gani cha siasa ama hata asiwe mwanasiasa.
Pia utupatie mifano hai ya kuthibiutisha watu walioshindwa kuongoza vizuri walipokuwa hawajaoa ama kuolewa lakini walipokuja kuoa ama kuolewa wakapata mafanikio makubwa sana katika nyanja za uongozi.
Ndoa ni kielelezo cha nidhamu