Coastal Union vs Simba s.c. Live updates

Eti ile rambirambi ya Hayati Patrick Mutesa Mafisango imeishia wapi?.....

Na vipi kuhusu Simba TV na uwanja wa kituruki?..........

Rage bana....................

mmmmhhhh ya tv sichangii maana hata yetu naona kama haijastebo zaidi bora sie tumekuja kwa gia ya kuomba ushauri nini kifanyike sasa hao wazee wa quality plaza uzinduzi..
 
Katika mechi alizocheza Dar mnajua ni ngapi Simba alikuwa mwenyeji?? Unajua timu zilizotumia uwanja wa taifa kama wa nyumbani?! Au ulitaka Yanga acheze Kagera, arudi dar halafu akacheze tena Mwz, nyie mnaolalamika hata vitu vya msingi si mngelalamika gharama. Kwanza Yanga mna madeni kibao, njoroge, papic, Simba, si mhindi atapata presha?!

matapeli wakubwa nyie mmetapeli hadi maiti, hamfai kabisa
 
Teh teh.......

Mtani, ina maana kuendeleza kipaji cha mchezaji kuna tafsiri mpya siku hizi?......

Kumbe mnaendeleza hata wazee.........Mi nilijua Ochan kaendelezwa kwao Uganda kabla hajanunuliwa na Simba....

Mi nilivyokuelewa ulikuwa unazungumzia kukuza/kuendeleza vipaji vya wachezaji wadogo na kuwauza kwa bei mbaya...........Sasa huyo Ochan (mwenye umri wa miaka 27 kuelekea 28 sasa) sijui mlimuendeleza vipi ati....

Angekuwa hajaendelezwa na ni mzee mazembe wangetoa hela? Na uliposema ni mchezaji wa Simba ulimaanisha nini, wakati sote tunajua wa Mazembe kwa msimu wa pili sasa?!
 
Angekuwa hajaendelezwa na ni mzee mazembe wangetoa hela? Na uliposema ni mchezaji wa Simba ulimaanisha nini, wakati sote tunajua wa Mazembe kwa msimu wa pili sasa?!
Aisee..............................!!!!!!!!
 
Halafu rambirambi ya Mafisango hamjapeleka mpaka leo

Moses Basena naye ana madai yake, sasa kujisifu kuko wapi. Mzee Siang'a alikuwa mgonjwa taaban Simba hawakujali kama kawa, sijui kama yuko hai huenda alikufa. Mwenye data tusaidie.
 
Angekuwa hajaendelezwa na ni mzee mazembe wangetoa hela? Na uliposema ni mchezaji wa Simba ulimaanisha nini, wakati sote tunajua wa Mazembe kwa msimu wa pili sasa?!

Hivi bado wanamlilia huyu mtu kama ni mchezaji wao wakati walishamuuza?!!simba bana haweshi viroja,hapo tv na uwanja uliozungukwa na maduka na hotel bado,muda c mrefu mtamsikia aden akiitisha press conference kuelezea "mikakati" ya ujenzi wa uwanja,hii mara nyingi hutokea simba ikifungwa ili kuwatliza mashabiki tamthilia ya uwanja wa kisasa huendelea
 
Mzee umedandia treni kwa mbele, mdau wa Yanga (Makoye) ndo alianzisha hili, alisema Ochan tunda la Simba limekosa penati. Huyu ndo. Alimuhusisha ochan na simba, kisa amekosa penati. Asivyojua mpira, hata Messi hukosa penati)
 
Hivi nani aliipangia simba mechi nane mfululizo dar!!!

Hakuna aliyeipangia Simba mechi nane mfululizo dar, labda wewe?! Sijui hizo mechi 8 kwanza za mwaka gani, au unajumlisha na za msimu uliopita? kwa sababu mechi ya jana Tanga ndiyo ya saba. Ulitaka mechi na african Lyon, na Yanga na ruvu zikachezwe Mwanza au? Maana hizo timu ndo walikuwa wenyeji. Ungeshauri basi hizo timu wapeleke mechi zao kwingine ili Simba asicheze dar
 
Moses Basena naye ana madai yake, sasa kujisifu kuko wapi. Mzee Siang'a alikuwa mgonjwa taaban Simba hawakujali kama kawa, sijui kama yuko hai huenda alikufa. Mwenye data tusaidie.
Wazee wa dhulumat, madai ya ukweli yanaenda hadi fifa mbona ya Basena hatujayasikia? Tunajua Yanga Imeamuriwa na fifa iwalipe Njoroge na Papic, na Muhindi atajuta kuijua Yanga mwaka huu
 
Wazee wa dhulumat, madai ya ukweli yanaenda hadi fifa mbona ya Basena hatujayasikia? Tunajua Yanga Imeamuriwa na fifa iwalipe Njoroge na Papic, na Muhindi atajuta kuijua Yanga mwaka huu

Eti ile rambirambi ya Hayati Patrick Mutesa Mafisango imeishia wapi?.....

Na vipi kuhusu Simba TV na uwanja wa kituruki?..........

Rage bana....................
 
Eti ile rambirambi ya Hayati Patrick Mutesa Mafisango imeishia wapi?.....

Na vipi kuhusu Simba TV na uwanja wa kituruki?..........
Rage bana....................
Mimi ninavyojua rambi rambi huishia msibani na msiba huisha pale marehemu anapozikwa, marehemu alishazikwa obvious msiba uliisha pale alipozikwa na mambo ya rambi rambi yaliisha vile vile.

Kuhusu uwanja hayo ni mambo yetu wenyewe, hayawahusu.
 
Yaani ni full kichekesho aisee....Sijui ni nani hasa huwa anapanga ratiba........Mechi ya kwanza nje ya Dar wameanza kwa sare licha ya Nsa Job kupewa kadi isiyo na kichwa wala migu......

Hii ndio mechi ya kwanza kucheza nje ya Dar......Mechi nyingine zote 6 wamechezea uwanja wa Taifa ilhali Yanga wao wamecheza mechi 4 nje ya Dar(Mbeya,Morogoro,Kagera na Mwanza) na 3 wamecheza Dar........
Hapo sijaelewa unataka kusema nini, maana mechi hizo nne mmeshinda moja tu tena dhidi ya Toto na yenyewe baada ya matajiri wenu wote kuhamia Mwanza.
 
Back
Top Bottom