Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,299
Haya mlioko Mkwakwani tunasubiri mtuhabarishe. Naona mida ndo hii
Haya mlioko Mkwakwani tunasubiri mtuhabarishe. Naona mida ndo hii
Mkuu usiache kutuhabarisha matukio ambayo watu wa redio na TV watayaruka.Usijali mkuu niko uwanjani kwa live updates.
Timu zinapasha misuli moto, uwanja umejaa sana na hamasa kwa jukwaa la coast ambalo ndipo nilipo ni kubwa sana.
Gooooooooooooooooo!!!!!
mnyamaaaa
mnyamaaaa
Kakosa mkuu.nani kafunga mkuu?