wacha tusibiri tuone 🐒Kwa moto ambao azam walipelekewa na coastal union, simba akicheza kifadha kama anavyochezaga naona akiangusha alama nyingine hapo kesho.
Na hii ndio itakuwa rasmi "BYE BYE BABA JANE" katika mbio za ubingwa
Mbweha wa jangwani wanaenda kumtafuna kolo hiyo kesho😁Kwa moto ambao azam walipelekewa na coastal union, simba akicheza kifadha kama anavyochezaga naona akiangusha alama nyingine hapo kesho.
Na hii ndio itakuwa rasmi "BYE BYE BABA JANE" katika mbio za ubingwa
Apigwe achakaeHakika apigwe tuu
WalishabaleeeLabda Coastal wawe serious msimu huu kinyume na hapo tegemea koloizdad akijipatia goli 5 hapo,maana hilo ni tawi lao.
Mzee lile ujui ni tawi? Pale kolo Anachukua alama zake vizuri tu bila jasho Tena usije ukashangaa Yale ya Tabora united ya kupigwa 4 yakijirudia, hizo timu ni matawi ya mbumbumbu uwa yanatumika kupoozesha hasira za wanachama wanapokuwa wamechachamaa!!!Kwa moto ambao azam walipelekewa na coastal union, simba akicheza kifadha kama anavyochezaga naona akiangusha alama nyingine hapo kesho.
Na hii ndio itakuwa rasmi "BYE BYE BABA JANE" katika mbio za ubingwa
Kennedy alikosea nn mbna Inonga hamumsemi alivo garagara kijinga.Simba wapige panga kubwa pa wachezaji msimu ujao, fukuza tu wajinga wajinga, akina Kenendy anageuka kama greda au treni
Ndio shida ilipo, ila tukifungwa mnaanza madaShida hao wadigo huwa ni tawi la simba
Unakuta saido anawapiga goli 6 zote penalty .