Club E

feis buku

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
2,342
676
Ni taarifa tu wakuu kujuzana yanayojiri bongoland sio mbaya hususan kwa wapenzi wa burudani ! leo jion MLIMANI CITY club e' atakuako FALLY IPUPA! Kwa wale members woote wa club e' shangweeee!!!!
 
lakini mwita mbona unakuaga ivyo jamani ww mwana yan ww macoments yako siku zote yanafanana na macho yako! Ebu badilika bana !!!

Siyo hivyo! Unajua mimi huwa napenda sana kuwa member wa hiyo Club lakini sifahamu utaratibu wa kujiunga. Nasikia kuwa kama siyo member unakuwa hauko eligible for their events.
 
Siyo hivyo! Unajua mimi huwa napenda sana kuwa member wa hiyo Club lakini sifahamu utaratibu wa kujiunga. Nasikia kuwa kama siyo member unakuwa hauko eligible for their events.
kwa mara ya kwanza leo mwita umeongea kistaarabu ! ningekua na commplimentaly nimgekugaia mtoto ww! waweza kuja kutakua na viingilio kwa wasiokua members naamini haizidi 30,000/= vyakula vinjywaji its free na itakua muda mzuri wa ww kujiregist na kujua meengi yahusuyo CLUB E! KARIBU MWITA 25!
 
Nipo Mombasa, nitahudhuria kama watakuja Dodoma.
 
Kweli bana!
Wenzetu wanatambishiana hiyo sijui nini club, eti sijui Milimani gani sijui!!!
Ningoje Sundown pale, tukitoka hapo muda utakuwa unaruhusu!

umeona......leo tunaomba umemba kabisa mwambie na preta itasaidia kuendelea kumkipu bize
 
Back
Top Bottom