Club E

twende zetu travel tine leo kuna zilipendwa taarab wakongwe wote watakuwepo sina kampani unajua pale makaka poa kibao nahitaji msaidizi p'se
jamani fidel lini utanielewa? Leo nis pecial day kwa club e njoo nikupe complimentary basi! Huko kwa makaka poa dawa yao madada poa
 
TF mzuka ushapanda......... mkoloni anaweza nipa adhabu ya kutoka kesho nikakosa kusebeneka jioni

kwani kiingilio bei gani? mi napenda sehemu yenye fujo fujo. baadae nipo pale ambiance lakini kama vipi ntapanda hapo mlimani kuangalia kuna nini. pamoja sana. mia
 
Mkwe TF hivi inakuwaje nambie hii mambo ya bana ba kongo ndo mambo yako...
....Dah i salute you!
Mkwe hii mambo ya bana kongoo siku mashetani yangu yakipanda nafukunyua library naanza kucheki na kusikiliza haba ba mutu banapiga sebene acha hapo sijamuweka Koffi Olomide mzee mzima naye huwa anasebene la hatari
 
kwani kiingilio bei gani? mi napenda sehemu yenye fujo fujo. baadae nipo pale ambiance lakini kama vipi ntapanda hapo mlimani kuangalia kuna nini. pamoja sana. mia
Wekundu watatu wewe huyo unachoma ndani chakula na vinywaji vimejumuishwa kwenye hao wekundu watatu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom