Clouds Radio na KIPINDI CHA JAHAZI KINAZIDI KUBOMOKA

clouds have lost it kwenye kipindi cha kibonde... they thinks its funny, but its not

Kibaya zaidi regina mwalekwa ameenda kujichimbia kaburi tu pale, her name and fame are sinking fast like a fishing boat

there is a need to tune to other stations like i do brothers and sisters

wewe acha upupu, unadhani regina mwelekwa ni mwehu wa kukubali kulipwa 150000 wakati kazi anazofanya zinaingiza mara kumi ya hiyo kwa mwezi, kwa taarifa yako professional ya mtu haifi kihivyo. na radio one wameondoka wengi na waliobaki wote ni form four leaver waliopata mafunzo ya blabla, wewe kama hupendi kipindi cha Jahazi, mimi napenda kwa hiyo kuniambia hakipendwi hiyo ni promo kwa radio yako
 
The problem hawa watu (Tanzanian Journalists) hawajui kazi zao....... They are preaching their opinions instead of communicating with people and they think they are experts in every field sijui kama hawa watu ni reporters, presenters, au just comedians
 
wewe acha upupu, unadhani regina mwelekwa ni mwehu wa kukubali kulipwa 150000 wakati kazi anazofanya zinaingiza mara kumi ya hiyo kwa mwezi, kwa taarifa yako professional ya mtu haifi kihivyo. Na radio one wameondoka wengi na waliobaki wote ni form four leaver waliopata mafunzo ya blabla, wewe kama hupendi kipindi cha jahazi, mimi napenda kwa hiyo kuniambia hakipendwi hiyo ni promo kwa radio yako


wewe chai maharage em tuambie elimu za hao clouds.....acha use**** utalinganisha elimu ya wafanyakazi wa itv,radio one,capital tv and radio na clouds fm.....ma*t*a*k*o mwili mzima nyambafu.....
 
Ninawasiwasi na uelewa wa mambo wa Kibonde, hajui lolote kuhusu siasa,uchumi wala sheria, nimekuwa nikimsikiliza muda mrefu nikagundua alipata umaarufu kwa bahati mbaya tu, uelewa wake umeishia hapo na njaa zake ndio zinamsumbua. hajui hata kupiga propaganda za kisomi zaidi ya kuongea utumbo, kibaya zaidi CloudsFm wanamuamini sana hapo napata mashaka na hao wote. Among Blind Men One Eyes Man is the King.. Kibonde asidhani anamdanganya mtu ila anajidanganya mwenyewe! Mimi haniumizi kichwa! najua nataka nini na nitapata vipi.
 
unadhani regina mwelekwa ni mwehu wa kukubali kulipwa 150000 wakati kazi anazofanya zinaingiza mara kumi ya hiyo kwa mwezi

Habari Mkuu, mimi binafsi simjui huyo kibonde au Mweleka wala siwasikilizi hawa watu.... lakini ninachojua kuna walakini na wanahabari wetu Tanzania Wanajifanya wana expertise, katika kila fani, na badala ya kuongelea issue kama mawazo yao binafsi wanahubiri kama vile wenyewe ni magwiji wa hicho kitu tena bila kufanya research.... huo ni upotoshaji mkubwa.... kama mwanahabari unatoa opinions zako inabidi uwape watu nafasi wenye msimamo tofauti watoe opinions zao....

Na kipindi inategemea ni nini kama kipindi ni cha comedy basi kijulikane ila sio kuleta utani kwenye issue za maana kwahiyo inabidi tujue kama kipindi ni talk show, au ni mawazo ya presenter, au ni presenter anapresent habari au ni kipindi cha kufundishana.... na panapo ongelewa issue technical basi wachukue mtu wa fani hiyo na si kubwabwaja tu....

Amount ya pesa anazopata mtu sio kigezo cha kwamba anafanya kazi yake vizuri na inayosaidia jamii Money is not Everything Kuna Porn Artists wanapata pesa nyingi sana its not necessary kwamba kazi wanayofanya inajenga Jamii.....
 
Wanajua kweli sheria wale au wanaongea maana ukizungumzia dowans unajua ilivyoanza na unaitetea wewe kama nani, WEKA HOJA MEZANI ruhusu simu zipigwe?? Pili Kibonde ndo ameishiwa kabisa maana anasema umeme kupanda sh 28 ni ndogo mno hajui wenzetu nchi jirani hata sh kumi wanaandamana na kupinga mpka kufa, Umeme ukipanda ina maana bidhaa zitapanda pia wenye viwanda wanaotumia unit 1200 kwa wiki je hiyo sh 28 huoni kama italeta madhara?? Tusifikirie sisi kama sisi tumejifungia kwenye AC na radio station tukaona ndo mwisho. Mwandishi wa habari ninavyojua wanareason na kupata hoja mbali mbali kutoka kwa wadau then wana discuss sasa wao na huyo regina bora arudi radio one tu.

MUNGU IBARIKI TZ, NA MUNGU USIBARIKI WOTE WANOTETEA WEZI
Namuonea huruma jose kusaga....
 
Hasa huyo Regina nadhani atampita Kibonde kwa kuongea utumbo..

mmh yan acha tu
regina nilikuwa nampenda sana uyu mama lakin dahh kumbe ni pumba productizoooooooo....hawazi wala hawazui ye anaongea tu jahazi imekuwa km sehemu ya matakataka ivi watu wanaongea bila program yaani bwabwaja tu ili mradi saa moja ifike....
ushauri;
ebu kuwen wabunifu basi jaman ..angalien cha kusema kwa kuangalia wananchi wanasemaje...wadau wanasemaje..afu mfanye utafiti b4 hamjasema lakin habari ya KUFIKIRIA KWA MDOMO B4 KUSEMA...2b honest mimfatiliaji na mpz sana wa jahaz ...NAPENDA KUSIKILIZA MAGAZET YA JION ..(sna ela ya kununua ati)

yaani ata kipind cha kina gea na dina kinawashinda..dinas program looks 2b cheap bt for sure that gal ni creative na programa mzuri..anazungumza mambo yanayooenekana cheap lakin YANAELIMISHA SANA wanajamii hususan fans wake weng ambao nadhani ni akina mama zaidi thou na kina baba pia wanaelimika na kukipenda kipind iki...

yaaani km NINGEKUWA BABA NA WATANGAZAJI WA CLOUDS NDO WANANGU BASI NINGEWAPELEKA KOZI IZI;
dina angechukua SOCIOLOGY
ANTONIO-TOURIST AND ARCHIOLOGY,ANTHROPOLOGY
XXL WOOOTE - FPA..
akina pawa breakfast waende POLITICAL SAYANS( ps pa) xluding kilaza babra uyu mzungu wa tandale hafai ..mwambie atamke vile vile utaskia vileeeeeeevileeeeeee haa jaman mweeeee

yule wa saa moja usiku na kuendelea ahh sjamsoma bado wale wa michezo xtra rafiki zake francis cheka poa wabak apo apo na wanajua wakifanyacho

yule loveness mhh hatarrrrr ...atoke au abadiri anachokiongea na yule kaka HAKINA MAADILI ata km tunavuta wasikilizaji si kivilee wanaongea madudu sana...wanajfanya wanajua mambo mmh apana ..MAADILI JAMAN...saut yake sasa mmh feki ya kichina original!!!!!...awa ningewanunulia ipod nyiiiiing na net ya uhakika ili wachat face buku muda wote

dah enz za fina na masoud yan ilikuwa saafi sana

kibonde i love u braza bt try to change....usiongee yanayohusu siasa hewani km hauna uhakika na jambo lolote lile ..othwise ur duin good n ilike ya show
iyo restaurant ya gadna na dada jd ikikua basi kaka gadna arud mzigoni.
 
Habari Mkuu, mimi binafsi simjui huyo kibonde au Mweleka wala siwasikilizi hawa watu.... lakini ninachojua kuna walakini na wanahabari wetu Tanzania Wanajifanya wana expertise, katika kila fani, na badala ya kuongelea issue kama mawazo yao binafsi wanahubiri kama vile wenyewe ni magwiji wa hicho kitu tena bila kufanya research.... huo ni upotoshaji mkubwa.... kama mwanahabari unatoa opinions zako inabidi uwape watu nafasi wenye msimamo tofauti watoe opinions zao....

Na kipindi inategemea ni nini kama kipindi ni cha comedy basi kijulikane ila sio kuleta utani kwenye issue za maana kwahiyo inabidi tujue kama kipindi ni talk show, au ni mawazo ya presenter, au ni presenter anapresent habari au ni kipindi cha kufundishana.... na panapo ongelewa issue technical basi wachukue mtu wa fani hiyo na si kubwabwaja tu....

Amount ya pesa anazopata mtu sio kigezo cha kwamba anafanya kazi yake vizuri na inayosaidia jamii Money is not Everything Kuna Porn Artists wanapata pesa nyingi sana its not necessary kwamba kazi wanayofanya inajenga Jamii.....

wanahabari wetu Tanzania Wanajifanya wana expertise, katika kila fani,......NIDAI SODA.
 
Acid, kuna siku nilifikiri kupost thread hapa kumwomba Regina Mwalekwa aombe kipindi kingine Clouds na achane na Kibonde otherwise tutahesabu akili zake ni sawa na za Kibonde. Tangu nilipowasikia wakishabikia maneno ya Warema kuwa hamna haja ya Katiba mpya kwa sababu wananchi hawajui ile ya zamani sijasikiliza tena Jahazi. napenda nimwambie Kibonde kuwa swala la kuwapa wananchi elimu ya Uraia sio la chadema wenyewe bali ni letu sote akiwemo yeye anayeropoka hovyo hapo Clouds.

wala haina haja ya kuomba kipind kingne...ajaribu kuwa chachu kwa mabadiriko apo kipindini...
atumie akili

wawe wabunifu angalau kidogo lakin mpango wa kujadili vitu kutokana na MIJADALA YA VIJIWEN pale pemben ya lumumba au apo pemben ambao wachangiaji mada ndo wale wenye elimu km yangu upeo F ..then unakuja studio kuleta folda ilo apana
 
Msimlaumu kibonde saaana............. Ukiobonde wake umezidi kuanikwa sababu ya mkataba mabosi wake waliingia na CCM

Nani anajua ule mkataba wa CCM na Clouds unaisha lini ? .................

baadhi ya vipindi vya cloudss ni sawa nakusikiliza redio uhuru .....................
 
real kipindi kinaboa hasa jana Regina alivyoanza kuponda maandamano ya Arusha bila kujua kuwa ni haki yao Chadema kuandamana na pia ilikuwa haiwahusu kuisemea kweli nilitune station nyingine ili kuondokana na ujinga waliokuwa wakiongea.
uSHAURI WATAFUTE MBINU NYINGINE ZA KUENDESHA KIPINDI SIO MANENO YA KASHFA NA MAJUNGU YANAYOENDANA NA UNAFIKI/UNAA


Mbona waislamu wakipanga kuandamana huwa hawapondi?
 
Kibonde mbwa mkubwa yule amenunuliwa na Rostam, huyo Regina mwalekwa ndo basi kabisa na kujidai
na kiswahili cha Lamu, malaya mkubwa tena anafirwa na kibonde wake.Jana nimewasikia hata mie eti wa
nadai dowans ipo kihalali halafu watanzania ni mbumbumbu wa katiba,washenzi wakubwa hawa wanaoisa
liti nchi yao!they are all ****ed!!!
 
kibonde anamapenzi ya kinafiki tu, na anawakilisha watanzania walio wenge ambao wanaipenda CCM kwa unafiki tu si kwa dhati...tanzania itajengwa na watu walio na dhamira ya dhati ambao ni Nyerere, Dr Slaa, na wanginee.... laki sio mkwere
 
Tuanze kuwatenga kwa jamii wale wote wanashauriwa kujirudi na hawataki kuelewa. tatizo tunasifia wakiwa mtaani kwetu.....wakuzomewa zomewa watakoma.
 
mmesahau hata siku ile ya kipindi cha kikwete live wakati wa uchaguzi alivyomuuliza kikwete swali la kinafiki cwez kumshanga kibonde kuropoka mambo ya kijinga
 
DSC00125.JPG


Regyna asma wa jahazi.....kulia kwao wana fegi zao wanazopigaga b4 kipindi
 
hivi cv ya kibonde nani anaijua iweke wazi nina mashaka na elimu yake. regina huyu haachoki kutapatapa alianzia radio tumain, uhuru radio one sasa clouds huyu hana msimamo kabisa kiswahili kingi akili hamnazo.
 
clouds fm sio radio ya kutupa habri na mengineyo ila ni ya vijana wazururulaji waliojikusanya pamoja tena makapi ya redio zingine wanapotema pumba zilizoenda kwao hivyo msiwalaumu hao hawajui hata kwa nini wanaishi wote wako taabani mimi si radio yangu rabda sijui waziri wa habari atusaidie niliona siku moja mnalalamikia kipindi fulani kinasikika usiku we skip that station utapata hasira kwa mtu makini wala hakuna atakaekuelewa it is a wrong placed station
 
haya sas mi nasikiliza wapo radio siku hizi ya zamani RTD we kikwete ulimtoa wapi tido akaja kutuharibia radio kwanza nilipata hasira alipotoa ile mbiu ya bigula na ngoma ya nyunyusa huo utamaduni wetu ameutoa anona raha kuweka ile ya kizungu sijui basi tu
 
Back
Top Bottom