Clouds Media wamwandalia Kikwete Birthday 2010?

the great kwame nkrumah in his many writings alishatuambia, `it is the depth of origin that defines a person' sio urefu wake ama umri aliokaa darasani. This guy is simply very very very cheap and so is his family, kinachonishangaza ni jinsi viongozi wa serikali watu niliofikiri kwamba ni mahiri wa taratibu za serikali kama pinda kujazana huko na wakina mwana falsafa wakina mrisho mpoto, very cheap leadership yaani waliona jinsi pekee ya kuwa karibu na clouds ni kufanyiwa party na hiyo mizee mingine kwenda hata kuvaa for the occassion hawajui, kwani wangeendelea na shughuli zao na kumtakia heri ofisini kwake siku hiyo hiyo ama kesho yake wangepungukiwa nini? Hizi ndio standards wanazotaka watanzania wazikumbatie mimi ningeheshimu kama wangemuacha juha kalulu afanye anavyotaka siku hiyo na ku spend personal time hata kama amengeamua kujianika darini, hawa wote waliohudhuria hawafai kkuwa viongozi, mbona wakati wa mwalimu sikuona mzee morris nyunyuso akifanya birthday ya rais, halafu huyu jk anayewasifia clouds leo mpaka anataka kutoka roho, anawaweka wapi ipp waliombeba miaka yote wakiwa na full machinery ya kufanya hivyo? Hawa wajinga wamefanya nini cha zaidi ama sawa na itv, sasa mengi aache kujikomba amtose abebwe na hao clouds,

muda si mrefu tutasikia singo yake hewani
 
Huyu jamaa na mkewe wamezidi ubishoo. Mwinyi, Mkapa, Nyerere mbona hawakuwa hivi?
 
......Birthday yake ya mwisho akiwa Presdar wa Tz, this time next year atasherehekea akiwa anaitwa "Rais wa zamani wa Tz"
 
Mh. Ukiwa unafurahi na wageni wako, uwe unakumbuka kuwa "IKULU" ni mahali patakatifu. Mwl hakumaanisha hilo jengo tuu, bali bustani, wanyama na assets zote za mahali hapo. msipachafue mahali patakatifu.
 
bill-sax.gif

- Clouds ni only a messenger wa wapenzi wa Bongo Flav, ambao pia ni wananchi wapiga kura it is just a common sense!

Es!
 
- Desparate! ha! ha! ha! ha!, kifo cha nyani kila mti hutereza jana ilikuwa REDET, leo Clouds sasa subiri kesho ha! ha! ha!, angalia usilete yale matusi yako ya kunisingizia ni ndugu yako mwenyewe ili thread ifungwe, kama unaweza kumtukana dada yako mwenyewe huku kwenye public sisi wengine itakuwaje ha! ha! ha! pole sana bro miaka 80 hujarudi kwenu makelele tu huku JF asubuhi mpaka saa ya kulala ha! ha! ha ha! duh!, pole sana mzee ha! ha! ha!

- Mafumu yanakutesa hayo no wonder kila kitu hakiko sawa unahangaika, hela za vitabu umeibiwa, elimu kubwa mwisho wake ni kuishi huku JF na rangi za ajabu forum nzima, ha! ha! ha! ha! mizimu ya mababu inakulilia babu rudi tu home kwani uliua? ha! ha! ha! ha!, I am too young for you babu, hata huyu binamu yako unayemtukana tukana kila blog ni mdogo mno kwako babu ona aibu japo kidogo! ha! ha! ha! ha!

- Haya tukana sasa thread ifungwe kama ulivyofanya kuleee ha! ha! ha! ha! babu mzima hovyoooooo!
!

Later mzeee! na kwaheri!
 
Happy birthday Mheshimiwa mungu akupe maisha marefu,Ingawa nimebaki na swali la kujiuliza Tanzania yetu ina redio karibia kumi,magic fm,radio free Africa,Tbc,Radio one,Times FM,Kiss Fm,Radio Maria,Radio uhuru na nyinginezo.Cha kushangaza sherehe ya kuzaliwa kwako wamealikwa watangazaji karibia wote wa radio moja na viongozi wao.Je ilikuwa ni sherehe ya Clouds media kumpongeza mkurugenzi wao anayeadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa?,naanza kudoubt kama Mheshimiwa huna Hisa kwenye hii radio
 
- Desparate! ha! ha! ha! ha!, kifo cha nyani kila mti hutereza jana ilikuwa REDET, leo Clouds sasa subiri kesho ha! ha! ha!, angalia usilete yale matusi yako ya kunisingizia ni ndugu yako mwenyewe ili thread ifungwe, kama unaweza kumtukana dada yako mwenyewe huku kwenye public sisi wengine itakuwaje ha! ha! ha! pole sana bro miaka 80 hujarudi kwenu makelele tu huku JF asubuhi mpaka saa ya kulala ha! ha! ha ha! duh!, pole sana mzee ha! ha! ha!

- Mafumu yanakutesa hayo no wonder kila kitu hakiko sawa unahangaika, hela za vitabu umeibiwa, elimu kubwa mwisho wake ni kuishi huku JF na rangi za ajabu forum nzima, ha! ha! ha! ha! mizimu ya mababu inakulilia babu rudi tu home kwani uliua? ha! ha! ha! ha!, I am too young for you babu, hata huyu binamu yako unayemtukana tukana kila blog ni mdogo mno kwako babu ona aibu japo kidogo! ha! ha! ha! ha!

- Haya tukana sasa thread ifungwe kama ulivyofanya kuleee ha! ha! ha! ha! babu mzima hovyoooooo!
!

Later mzeee! na kwaheri!
Kuna mwanamuziki alishaimba kuwa clouds imejaa mashoga. Naanza kuamini ss!
 
HAPPY BIRTHDAY kweli Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo waweza kuta zimetumika pesa zinazoweza jenga darasa
 
- Desparate! ha! ha! ha! ha!, kifo cha nyani kila mti hutereza jana ilikuwa REDET, leo Clouds sasa subiri kesho ha! ha! ha!, angalia usilete yale matusi yako ya kunisingizia ni ndugu yako mwenyewe ili thread ifungwe, kama unaweza kumtukana dada yako mwenyewe huku kwenye public sisi wengine itakuwaje ha! ha! ha! pole sana bro miaka 80 hujarudi kwenu makelele tu huku JF asubuhi mpaka saa ya kulala ha! ha! ha ha! duh!, pole sana mzee ha! ha! ha!

- Mafumu yanakutesa hayo no wonder kila kitu hakiko sawa unahangaika, hela za vitabu umeibiwa, elimu kubwa mwisho wake ni kuishi huku JF na rangi za ajabu forum nzima, ha! ha! ha! ha! mizimu ya mababu inakulilia babu rudi tu home kwani uliua? ha! ha! ha! ha!, I am too young for you babu, hata huyu binamu yako unayemtukana tukana kila blog ni mdogo mno kwako babu ona aibu japo kidogo! ha! ha! ha! ha!

- Haya tukana sasa thread ifungwe kama ulivyofanya kuleee ha! ha! ha! ha! babu mzima hovyoooooo!
!

Later mzeee! na kwaheri!
Mzee wa datas kumbe hata kughani hizi bongo fleva unajua siyo? Hiyo mistari imenifurahisha sana ila umesahau beti za kura za maoni mkoa wa kati ya Tanzania hukuziwekea mistari. Karibu mkuu.
 
bill-sax.gif

- Clouds ni only a messenger wa wapenzi wa Bongo Flav, ambao pia ni wananchi wapiga kura it is just a common sense!

Es!

Watu waweza kusema umeandika hivi kwa vile Jose aka big boss mjengoni ni mshkaji wako. Lakini kweli unabaki pale pale kuwa CCM itashinda kwa vile ina wapenzi, washabiki na wanachama ambao wako on the ground kupiga kura.

Wapenzi, washabiki na wanachama wa upinzani wengi wao ni maneno mengi, matusi na kila kejeli lakini mwisho wa siku, wao hawatapiga kura hivyo kuipa CCM ushindi wa chee.
 
Back
Top Bottom