Hivi WAMA ni nini vile?
Hivi waafrika tuna asili ya kusherehekea siku za kuzaliwa?
unajua uchaguzi unavibweka kweli kweli eti clouds ndiyo ya kumwandalia mheshimiwa rais kikwete sherehe ya kuzaliwa kwake na kwanini isiwe Tbc ili watanzani wote waone sherehe ya rais wao kuna nini kati ya hawa clouds na mheshimiwa inamaana hata wakina salva kule ikulu wameshindwa kumwandalia mh kikwete sherehe ya kuzaliwa kwake mbona wanamfanya rais wa watanzania kuwa cheaper kiasi hicho kesho kutwa nayo times itataka kumwandalia ehee!!! ningekuwa mimi ndo mheshimiwa kwa kweli nisingekwenda kwani hadhi ya rais na kijiredio hicho havifanani halafu kivipi clouds na ikulu tbc angalau itasound kidogo. hii mwaionaje wajameni kama mi niliangalia taarifa kwenye habari ya tbc tv, vi wana jf??

"..oya si unajuwa tena yule ni mwana..au sio kwa hiyo tukaona kama vipi nini isiwe kesi.....tukaamua kumpa shavu ajimix na machizi wa kitaa kwa kitaa..."
Ni moja ya taasisi za sisi m hiyo WAMA?Taasisi ya mama mkubwa inayo piga kampeni mkulu arudi.
Yaani maendeleo ya mke wa Kikwete yameundiwa taasisi? Maana mke wangu is the same since 2005WAMA == Wanawake Maf*** sorry ni ni nanhnhnhi aka mbona nasahau. Nimekumbuka WAMA ni Wanawake na Maendeleo.
ukiwaona wageni waalikwa (marafiki wa JK) huwezi kushangaa kwanini jamaa huwa anadanganywa kirahisi sana na "wasaidizi" wake
mnajua rais wetu alivyo bias wa kuokotwa. pia nimesikia akiwasifia clouds kuwa wanainua vipaji vya wasanii. Ina maana residaa hayupo briefed vizuri na wasaidizi wake? mijambazi anaisifia lakini no wonder alimsifia EL, Mramba, Chenge na wengineo. he is a gonner. wacha afaidi vya mwisho mwisho ikulu.unajua uchaguzi unavibweka kweli kweli eti clouds ndiyo ya kumwandalia mheshimiwa rais kikwete sherehe ya kuzaliwa kwake na kwanini isiwe Tbc ili watanzani wote waone sherehe ya rais wao kuna nini kati ya hawa clouds na mheshimiwa inamaana hata wakina salva kule ikulu wameshindwa kumwandalia mh kikwete sherehe ya kuzaliwa kwake mbona wanamfanya rais wa watanzania kuwa cheaper kiasi hicho kesho kutwa nayo times itataka kumwandalia ehee!!! ningekuwa mimi ndo mheshimiwa kwa kweli nisingekwenda kwani hadhi ya rais na kijiredio hicho havifanani halafu kivipi clouds na ikulu tbc angalau itasound kidogo. hii mwaionaje wajameni kama mi niliangalia taarifa kwenye habari ya tbc tv, vi wana jf??
hehehe anguka mistari wangu. aminia"..oya si unajuwa tena yule ni mwana..au sio kwa hiyo tukaona kama vipi nini isiwe kesi.....tukaamua kumpa shavu ajimix na machizi wa kitaa kwa kitaa..."