Mkuu I salute you kwa kuliona hili.
Inatisha sana siku hizi bongo kwa mtoto wa kike yaani anakuwa vulnerable na hawa sexual predators shuleni, kwenye kuomba ajira na hata akiwa ktk ajira. Inasikitisha
tusiishie kwenye kuwaombea.... tuwaeleweshe rights and responsilities zaoTuwaombee watoto wetu jamani vinginevyo we are ni trouble!
Clouds fm is a success, and among problems of success ni attention, scrutiny etc. haya mambo ni kweli lakini they happen @every radio station na TV even zile religious....
Rather than focusing @ clouds, i would just talk of ethical and professional conducts especially in showbizz where young and vulnerable girls are used without their awareness for fame...
ukienda serikalini, makampuni binafsi hasa banks and mobile phone companies na hata majeshini this has been a default practice... if we want to stop this then a movement needs to come... VYUONI, SHULE ZA SEKONDARI ETC NDIO USISEME
SEXUALA ABUSE AND EXPLOITATION IMEKUA PART AND PARCEL OF OUR CAREER/PROFESSIONAL PATH AND IF WE WANT TO STOP THEN WE NEED TO SHOUT AND SAY NO
hivi huyu kibonde anamatatizo gani?Kibonde anawakanyaga watoto wa watu kama hana akili nzuri !
imekuwa ikisemwa kwa chini chini kuwa wasanii wa kike wa tht wamekuwa wakiingia katika mkumbo wa kuliwa kama sio kumegwa na baadhi ya WATANGAZAJI NA VIONGOZI wa redio ya watusasa nimeamua kuleta suala hili jamvini tujaribu kuwataja majina wahusika hapa nikimaanisha wasanii wanaoliwa na watangazaji na vingozi wanaowala
Kibonde anawakanyaga watoto wa watu kama hana akili nzuri !
Jiombee mwenyewe maana huenda hata wewe upo kwenye system ya jinsi hiyo..Hujafa hujaumbika..!!Tuwaombee watoto wetu jamani vinginevyo we are ni trouble!
ruge's list
k lin,jd,mwasit,fina,babla wengne ata nikiwatj amtowajua kwan hawakufanikiwa kutoka
joh kusaga yan mwny redio sio m2 wa madem sema msanii msanii sn
ila kuna m2 anaitwa kibonde ni balaa!!
ngoja nisikilize mawe ya antvirus, hv wamewah kanusha hzi tuhuma?Huyu jamaa kwenye red nilikuwa namfagilia sana zamani kabla sijaisikiliza anti-viru ya Sugu. Ila ameanza kupoteza mvuto kwangu.
...AND LATER MBILINYI FOOKED SHYROSE BHANJI...
i may no like clouds fm culture but mbulinyi shot himself on the foot by shagging shyrose
Hili ndio tatizo la fani hizi.Siyo Tanzania tu ni dunia nzima.Uliza kinachowapata wasanii hata huko Hollywood.Occupational hazards ziko za aina nyingi siyo lazima kuangukiwa na kifusi tu!Suala la Prime Time Promotions/Clouds kuwatumia wasanii wadogo wa kike kwa ngono ni kitu serious sana. Hawa mabinti ni wadogo sana ki-umri, most of them are just teenagers. Ili wafanikiwe kimuziki, mabosi wa Prime Time Promotions na Clouds pamoja na DJs na watangazaji wao wamekuwa wakidai rushwa ya ngono kwa watoto hao wa kike. They are sexually exploiting these young girls na kuwatumia sana kwa ngono kama masharti ya kutengeneza nyimbo zao na kuzipiga kwenye redio.
.