Clouds FM na skendo ya ngono na wasanii wa kike

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
imekuwa ikisemwa kwa chini chini kuwa wasanii wa kike wa tht wamekuwa wakiingia katika mkumbo wa kuliwa kama sio kumegwa na baadhi ya WATANGAZAJI NA VIONGOZI wa redio ya watusasa nimeamua kuleta suala hili jamvini tujaribu kuwataja majina wahusika hapa nikimaanisha wasanii wanaoliwa na watangazaji na vingozi wanaowala
 
Io kitu mh. JOSEPH MBILINY(MB),aliisema katika mixtape ya Antvirus,ni suala ambalo lipo,na wahusika wanalichukulia kawaida tu kwa kuwa,mmegwaji anapata JINA, ana-drive,VIP..so haoni madhara yake..
 
Clouds fm is a success, and among problems of success ni attention, scrutiny etc. haya mambo ni kweli lakini they happen @every radio station na TV even zile religious....

Rather than focusing @ clouds, i would just talk of ethical and professional conducts especially in showbizz where young and vulnerable girls are used without their awareness for fame...

ukienda serikalini, makampuni binafsi hasa banks and mobile phone companies na hata majeshini this has been a default practice... if we want to stop this then a movement needs to come... VYUONI, SHULE ZA SEKONDARI ETC NDIO USISEME

SEXUALA ABUSE AND EXPLOITATION IMEKUA PART AND PARCEL OF OUR CAREER/PROFESSIONAL PATH AND IF WE WANT TO STOP THEN WE NEED TO SHOUT AND SAY NO
 
unatoa habari au unauliza be specific,hapa hakuna hisia ulicholeta javini ni zero,tutajie unamuuliza nani wakati wewe ndio unajua?
 
Io kitu mh. JOSEPH MBILINY(MB),aliisema katika mixtape ya Antvirus,ni suala ambalo lipo,na wahusika wanalichukulia kawaida tu kwa kuwa,mmegwaji anapata JINA, ana-drive,VIP..so haoni madhara yake..
...AND LATER MBILINYI FOOKED SHYROSE BHANJI...

i may no like clouds fm culture but mbulinyi shot himself on the foot by shagging shyrose
 
Why Mkuu is that a no go area?, or isn't she worth it, I think any woman and any man can be compatible..., so whomever go out with whoever I think its okay and its up to them to decide. Especially if we dont know what she is giving him so we cant say anything for sure..., Maybe even you ukionja unaweza ukajikuta unachonga mzinga.....These things are hard to tell
 
uko sahihi mkuu... issue ni leo unanikandya mimi kwa ngono halafu kesho unafanya, ni bora kukaa kimya maana sugu ana maisha yake mengine

hivi unamjua shyrose vizuri mazee??
 
imekuwa ikisemwa kwa chini chini kuwa wasanii wa kike wa tht wamekuwa wakiingia katika mkumbo wa kuliwa kama sio kumegwa na baadhi ya WATANGAZAJI NA VIONGOZI wa redio ya watusasa nimeamua kuleta suala hili jamvini tujaribu kuwataja majina wahusika hapa nikimaanisha wasanii wanaoliwa na watangazaji na vingozi wanaowala
wewe si ndiyo Arnold Kayanda wewe, yule anayetangaza top 20. Hapa unatafuta uhakika kama kale kademu kenu Lina kameshaliwa na Kibonde. Hizo habari ulizaneni hukohuko Clouds na siyo kuleta ufakunyuzi hapa jamvini.
 
MTM ebu tujuze mapungufu yake Shy..mana kijana Jafarali alikuwa analalama tu kwenye vyombo vya habari baadaya kutosana..yaonekana Shy anavitu adimu ....
 
uko sahihi mkuu... issue ni leo unanikandya mimi kwa ngono halafu kesho unafanya, ni bora kukaa kimya maana sugu ana maisha yake mengine

hivi unamjua shyrose vizuri mazee??

Hapo ni kweli kama unaishi kwenye nyumba ya vioo usitupie wengine mawe....., Lakini labda Sugu aliongelea jamaa wanavyotumia nafasi yao kuchukua rushwa ya ngono wakati labda yeye na huyo mama wote wanapeana good times kama two grown ups
 
wewe si ndiyo Arnold Kayanda wewe, yule anayetangaza top 20. Hapa unatafuta uhakika kama kale kademu kenu Lina kameshaliwa na Kibonde. Hizo habari ulizaneni hukohuko Clouds na siyo kuleta ufakunyuzi hapa jamvini.
Duh! kwanini huyu muungwana na sio wengine kama wakina Ncha kali au B12!?
 
wewe si ndiyo Arnold Kayanda wewe, yule anayetangaza top 20. Hapa unatafuta uhakika kama kale kademu kenu Lina kameshaliwa na Kibonde. Hizo habari ulizaneni hukohuko Clouds na siyo kuleta ufakunyuzi hapa jamvini.

CTU sio anorld.... umekosea sana mkuu

na ukarejee sheria za JF
 
Hayo mambo kwa sasa yapo kila mahara sio clouds tuu nilwai fanya temple pale wanamuziki enzi zile walikuwa wanamegwa na madj zaidi ya wawili mpaka ugomvi.kuna wadada walishazichapa studio kisa aliyewabandua ni mmoja sasa kuna aliyetaka kumhodhi mwenzake anywee!tena ni wanamuziki maarufu kwa sasa
 
imekuwa ikisemwa kwa chini chini kuwa wasanii wa kike wa tht wamekuwa wakiingia katika mkumbo wa kuliwa kama sio kumegwa na baadhi ya WATANGAZAJI NA VIONGOZI wa redio ya watusasa nimeamua kuleta suala hili jamvini tujaribu kuwataja majina wahusika hapa nikimaanisha wasanii wanaoliwa na watangazaji na vingozi wanaowala

Ebu anzisha sie tuendeleze utakapioshia weye Mkuu.
 
Clouds fm is a success, and among problems of success ni attention, scrutiny etc. haya mambo ni kweli lakini they happen @every radio station na TV even zile religious....

Rather than focusing @ clouds, i would just talk of ethical and professional conducts especially in showbizz where young and vulnerable girls are used without their awareness for fame...

ukienda serikalini, makampuni binafsi hasa banks and mobile phone companies na hata majeshini this has been a default practice... if we want to stop this then a movement needs to come... VYUONI, SHULE ZA SEKONDARI ETC NDIO USISEME

SEXUALA ABUSE AND EXPLOITATION IMEKUA PART AND PARCEL OF OUR CAREER/PROFESSIONAL PATH AND IF WE WANT TO STOP THEN WE NEED TO SHOUT AND SAY NO

Mkuu I salute you kwa kuliona hili.
Inatisha sana siku hizi bongo kwa mtoto wa kike yaani anakuwa vulnerable na hawa sexual predators shuleni, kwenye kuomba ajira na hata akiwa ktk ajira. Inasikitisha
 
...AND LATER MBILINYI FOOKED SHYROSE BHANJI...i may no like clouds fm culture but mbulinyi shot himself on the foot by shagging shyrose
who knows banaaa! that shy,!?shy less and shameless period!!!! sugu is .... pia looolz
 
Back
Top Bottom