Clouds FM na skendo ya ngono na wasanii wa kike

hebu mwacheni dada wa watu shy amewakosea nini? issue ya clouds fm na skendo za ngono na wasanii wa kike wa tht sasa shy anaingizwaje humu?
 
uko sahihi mkuu... issue ni leo unanikandya mimi kwa ngono halafu kesho unafanya, ni bora kukaa kimya maana sugu ana maisha yake menginehivi unamjua shyrose vizuri mazee??
Kuna tofauti hapo Mkuu, Watangazaji na mabosi wa Clouds wanatake advantaje kwa hawa mabinti wa THT coz wanategemea msaada kutoka kwao, tofauti na 'mahusiano' {kama yapo maana wote hawajathibitisha} ya Sugu na Shy.
 
Kama hao wasanii wa kike wa THT wanatongozwa na wanakubali, then hakuna tatizo.
 
...AND LATER MBILINYI FOOKED SHYROSE BHANJI...

i may no like clouds fm culture but mbulinyi shot himself on the foot by shagging shyrose

MTM hapo umeongea pumba. Hata kama Sugu kweli ana mahusiano na Shyrose, mimi sioni tatizo hapo kwani wote wawili ni watu wazima na ni mahusiano kati ya two consenting adults. Ni upuuzi sana kuanza kuwa judge watu wazima kwa mahusiano yao binafsi.

Suala la Prime Time Promotions/Clouds kuwatumia wasanii wadogo wa kike kwa ngono ni kitu serious sana. Hawa mabinti ni wadogo sana ki-umri, most of them are just teenagers. Ili wafanikiwe kimuziki, mabosi wa Prime Time Promotions na Clouds pamoja na DJs na watangazaji wao wamekuwa wakidai rushwa ya ngono kwa watoto hao wa kike. They are sexually exploiting these young girls na kuwatumia sana kwa ngono kama masharti ya kutengeneza nyimbo zao na kuzipiga kwenye redio.

Again, suala la Mr II au Mbilinyi kuwa na Shyrose, hata kama ni kweli, hao wote ni watu wazima. Huwezi kuhusisha/kufananisha au kuzungumzia suala hili na sexual exploitation inayofanywa na watu wa Clouds kwa mabinti wa THT ambao wanalazimishwa kutoa rushwa ya ngono.
 
Kuna tofauti hapo Mkuu, Watangazaji na mabosi wa Clouds wanatake advantaje kwa hawa mabinti wa THT coz wanategemea msaada kutoka kwao, tofauti na 'mahusiano' {kama yapo maana wote hawajathibitisha} ya Sugu na Shy.

Nakubaliana na wewe Apta kwa asilimia 100! Umeongea pointi sana mkuu...
 
Avatar ya futikamba mimi chali! hivi huyu kibonde watu wanadanganyika nini jamani kama siyo kutafuta kaburi? Mimi naomba tu Yesu ashuke leo!
Ngono ni everywhere hata majumbani siku hizi hg anakakandamizwa namwenye nyumba, mama mwenye nyumba anakandamizwa na HB, nahisi tumrudie mwenyezi Mungu jamani.
 
Hizi shutuma za clouds fm kuhusu skendo za ngono ni nzito sana na inabidi kwa kweli uchunguzi wa kina ufanyike ili kuthibitisha tuhuma hizi kwani bila ya hivyo radio hii inayojiita radio ya watu, itaendelea kuwanyanysa hawa mabinti kijinsia na uongozi wa clouds wakiona hakuna hatua yoyote inachukuliwa dhidi yao mchezo huu mchafu utaendelea siku hadi siku.

Kuna tuhuma nzito sana dhidi ya ruge mutahaba kutembea na watoto wa kike wa THT. Inafahamika wazi kabisa kwamba Ruge ameshawapa mimba mabinti wawili wa ThTt. Ruge alitumia kila njia ili wazitoe hizo mimba lakini mabinti hawa walikataa kufanya hivyo. Yule binti wa kwanza tayari ana mtoto na huyu wa pili bado ni mjamzito. Kama hiyo haitoshi sasa anatembea na Zamaradi Mketema mtangazaji wa clouds na vile vile ameshawapitia wengi tu kama wakina mwasiti, fina na listi ni ndefu sana.

Hizi skendo za clouds fm zisipotezewe lengo kwa kuhusisha mahusiano ya sugu na shyrose kwani ukweli ni kwamba wawili hawa hawajawahi kuthibitisha sehemu yoyote kwamba wao ni wapenzi.

Ushauri wangu ni vema tukajikita kwenye hoja ya msingi pasipo kuyumbishwa na watu wachache ambao wanataka kutumia hoja ya sugu kuwa na shy kuhalalisha tuhuma hizi nzito dhiti ya clouds.
 
MTM ebu tujuze mapungufu yake Shy..mana kijana Jafarali alikuwa analalama tu kwenye vyombo vya habari baadaya kutosana..yaonekana Shy anavitu adimu ....
Hakuna cha vitu adimu wala nini............ ALIKUWA ANATUMIKA TU...... UBUNGE WA JAMAA NDO VITU ADIMU ALIVYOKUWA ANAVILALAMIKIA
 
MTM hapo umeongea pumba. Hata kama Sugu kweli ana mahusiano na Shyrose, mimi sioni tatizo hapo kwani wote wawili ni watu wazima na ni mahusiano kati ya two consenting adults. Ni upuuzi sana kuanza kuwa judge watu wazima kwa mahusiano yao binafsi.

Suala la Prime Time Promotions/Clouds kuwatumia wasanii wadogo wa kike kwa ngono ni kitu serious sana. Hawa mabinti ni wadogo sana ki-umri, most of them are just teenagers. Ili wafanikiwe kimuziki, mabosi wa Prime Time Promotions na Clouds pamoja na DJs na watangazaji wao wamekuwa wakidai rushwa ya ngono kwa watoto hao wa kike. They are sexually exploiting these young girls na kuwatumia sana kwa ngono kama masharti ya kutengeneza nyimbo zao na kuzipiga kwenye redio.

Again, suala la Mr II au Mbilinyi kuwa na Shyrose, hata kama ni kweli, hao wote ni watu wazima. Huwezi kuhusisha/kufananisha au kuzungumzia suala hili na sexual exploitation inayofanywa na watu wa Clouds kwa mabinti wa THT ambao wanalazimishwa kutoa rushwa ya ngono.

siyo wadogo, kumbuka wanatongozwa na wanakubali, hakuna aliyebakwa
 
wewe si ndiyo Arnold Kayanda wewe, yule anayetangaza top 20. Hapa unatafuta uhakika kama kale kademu kenu Lina kameshaliwa na Kibonde. Hizo habari ulizaneni hukohuko Clouds na siyo kuleta ufakunyuzi hapa jamvini.
Dogo naona umeingia na ku-copy manomino ya watu. Any way karibu womanizer mdogo.
 
wewe si ndiyo Arnold Kayanda wewe, yule anayetangaza top 20. Hapa unatafuta uhakika kama kale kademu kenu Lina kameshaliwa na Kibonde. Hizo habari ulizaneni hukohuko Clouds na siyo kuleta ufakunyuzi hapa jamvini.

Womaniser wewe noma !
 
kuna mtoto mpya yule anaitwa Rachel sahv anapewa promo la kutisha,alivyo mkali yule lazima wakubwa wamepita
 
wale c ma-em siiii.....yani asilimia kubwa uwezo wao ni mdogo sana kichwani, so wala sishangai.....wanashindwa na watoto wadogo wa east africa radio/tv, yani uwezo wa kuchambua issues ni mdogo kupita maelezo blah blah ndo zinawaweka town. hilo swala la madem wa tht nafikiri ni tatizo la kitaifa, kama wazee wenyewe wanawamendea vibinti vidogo itakua hao clouds ma-emsiiii?? na hivi vitoto vyenyewe havina hata adabu vimedata na umarekani sasa kwa mbwa wenye njaa unatagemea nini kitokee????

conclusion: i hate clouds fm but i do like individuals esp milard ayo...he is intelligent and wise enough compared to many in clouds
 
Hayo mambo kwa sasa yapo kila mahara sio clouds tuu nilwai fanya temple pale wanamuziki enzi zile walikuwa wanamegwa na madj zaidi ya wawili mpaka ugomvi.kuna wadada walishazichapa studio kisa aliyewabandua ni mmoja sasa kuna aliyetaka kumhodhi mwenzake anywee!tena ni wanamuziki maarufu kwa sasa

Hapo kwenye nyekundu .... Jamani andikeni kiswahili
 
Nyinyi mnaowasema watoto kuwa wanatongozwa na wanakubali wenyewe, mnawakosea (hamuwatendei haki hao watoto)!
Watoto wana matatizo, wanataka kuonyesha vipaji vyao, hivyo ni rahisi kushawishika kwa kigezo cha kusaidiwa/kubebwa/kuwa promoted (if this applies). Kwa ufupi in this case watoto wanakuwa hawana option, other than kushiriki kwenye huo uzinzi!
Lakini lawama nyingine zielekee kwa serikali, maana kungekuwa na chuo kama hicho, kilicho chini ya serikali, then at least haya yote tusingeyasikia.
Ndo yale Mh. Sugu aliyoyalalamikia bungeni last week. Akajitokeza mjinga mmoja aliyetaka kupata umaarufu wa kisiasa kwa kuijibia wizara husika, matoke yake yule mama mwenye jina linalofanana na matoto ya ndege akamnyamazisha! Shame on her!
 
MTM ebu tujuze mapungufu yake Shy..mana kijana Jafarali alikuwa analalama tu kwenye vyombo vya habari baadaya kutosana..yaonekana Shy anavitu adimu ....

Shy ni noma ilke mbaya,hujiulizi kwa nini jafala alitulizwa miaka yooooote,leo ametemwa anabwabwaja kama necha kwa sinta??? umesahau utenzi wa sungura SIZITAKI MBICHI HIZI???HABARI NDO HIYO.
 
Kuna tofauti hapo Mkuu, Watangazaji na mabosi wa Clouds wanatake advantaje kwa hawa mabinti wa THT coz wanategemea msaada kutoka kwao, tofauti na 'mahusiano' {kama yapo maana wote hawajathibitisha} ya Sugu na Shy.

Ni kweli kabisa... the clouds manager/leaders are exloitative and sugu is the fooker.... it is worse kwa clouds maana wale mabinti wanawategemea kwa maisha yao

I think i messed up in comparing, but all in all... we do things which we are not supposed to do!!! as for clouds managers, it is worse
 
Back
Top Bottom