Shosti...bora wewe ulishamsikia na kuchukua hatua... mimi i was taken unawares... nilijikuta nasikiliza by default... Loh! and Behold... sikuamini ninachokisia ..... ndio nikaona nililete hili shauri kwa mahakama ya watu JF... waamue..Mh kwa kweli huyu mtangazaji hajaanza leo kuzungumza ujinga wake mie imenipelekea kufunga miredio mara baada ya taarifa ya habari ya saa mbili. Ah Lakini ina maana clouds hawana maadili? yaani wao wanaona sawa? Uongozi wa Clouds nao una makosa ina maana siku zooooo te hizo huyu binti anatangaza ujinga hawakuwa wakisikia?? Nidhamu ya mfanyakazi haiishii katika kuwahi na kutokukacha ofisi bali hata namna anavyovaa, anavyojibeba na hata lugha na content ya akitangazacho----------------- Ama kweli miafrika ,.....
Kwani hakuna mamlaka inayoshughulikia matangazo ya redio na televisheni?
Kwani hakuna mamlaka inayoshughulikia matangazo ya redio na televisheni?
Ipo.............TCRA
Kwani hakuna mamlaka inayoshughulikia matangazo ya redio na televisheni?
Zipo sana
Ipo.............TCRA
Kweli hiyo/ hizo mamlaka hazina kazi....
Au labda sexual content hazikatazwi wakati wa prime time....who knows....
boyfriend si mpaka ampatemy next question would have been.. Hivi huyu binti kama ana boyfriend anayemsikiliza saa hizi..itakuwaje?
Kumbeee!!
Hata hivyo hiyo si excuse ya kutumomomyolea maadili ya watoto.
Kweli hiyo/ hizo mamlaka hazina kazi....
Au labda sexual content hazikatazwi wakati wa prime time....who knows....
NN ur guess is right!
Nimewasiliana na taasisi husika na kubaini kuwa kumbe Kanuni/sheria/taratibu chini ya Tume ya mawasiliano hazikatazi content ya kikubwa baada ya saa 3 usiku!
Nimechokaaaa!
Ila mwenye kuwa na concern anaweza kupeleka malalamiko.