Clouds: Acheni kufagilia upuuzi - wewe Diva - Loveness Love unajiaibisha....

I believe that was before the birth of Ngabu who doesn't make any hurtful comments about anybody ...:juggle:

That was Ngabu being Ngabu. The vintage Ngabu dishing out the true substance of life.

The new Ngabu is more benign. Can't you tell?
 
Word has it, you are the lawyer for Miss Diva's case against JF, what say you?

I'm the people's attorney. I'll come to anyone's aid if I believe they are being attacked. Remember a couple weeks ago I had to cut Mangi down to size?

So we are working on it. The cease and desist letter/order has already been issued.
 
I'm the people's attorney. I'll come to anyone's aid if I believe they are being attacked. Remember a couple weeks ago I had to cut Mangi down to size?
:canada:

So we are working on it. The cease and desist letter/order has already been issued.

Do you think your comment on her mental condition will be used against your client at the court of law? I hope not :lol:
 
Kuna Kipindi cha Clouds sasa hivi kinaendelea.Mada ni Mume wa mtu au girlfriend wa mume wa mtu ni mtamu!

Loveness Love - the Diva anafagilia sana na kusifia... ati maboyfriend ni wachafu wananuka midomo, hawaogi! Waume za watu wanaogeshwa na wake zao, wanapuliziwa mapafyumu.Wakija kwako wasafiiiiiiiii. Mume wa mtu akija kwako raha tupu..... anakuja kwa kazi moja tu anaondoka.Hakuonei wivu wala nini......

Sasa wanaongea na B12... kuhusu sex ... experiences zao nk.

Hivi siku hizi watu wamechunwa uso kama samaki hawaoni aibu kuongea mambo ya faragha bayana?Utadhani hawajazaliwa n mama na baba zao! Hivi kama ndio mwanao anaongea hivi, mzazi utajisikiaje? NASHINDWA HATA KUANDIKA UJINGA WANAOONGELEA.

Jamani mimi naona aibu kwa niaba yao!

Saa hizi ndio kwanza saa 4, watoto bado hawajalala ... kweli maadili yataacha kumomonyoka?

CLOUDS... ACHENI KUTUHARIBIA WATOTO WETU!!!!!!

Tusichoke kurekebishana, may be iko siku tutafika! :nerd:
 
Tembeleeni blog yake Diva muone uongo anaotaka kutuletea eti pic kabisa unaona ya mzungu yeye anang'ang'ania ni yake....anachukua viatu vya advertisement abroad anajifanya vyake wakati ukiangalia ipo wazi kabisa nariiiiin.....
 
What is that maple leaf suppose to mean?

Well, I was looking for Wabeba Box flag to wave, to show that I concur with what you are saying, but couldn't find one, so I decided to use the Canadian one, coz I've been informed that some of Wabeba box are to be found there too

My comments will be inadmissible in court.

I thought so. Let's hope the client is unaware of the their existence
 
Tembeleeni blog yake Diva muone uongo anaotaka kutuletea eti pic kabisa unaona ya mzungu yeye anang'ang'ania ni yake....anachukua viatu vya advertisement abroad anajifanya vyake wakati ukiangalia ipo wazi kabisa nariiiiin.....

Sasa hapo tatizo lako ni nini?

Ni blog yake, ukitaka amini usipotaka acha
 
Habari

Unachoweza kufanya ni kuzima redio au kuhama frequency.....
Kwa nini umeendelea kusikiliza....?????!!!!

Hoja yangu ni kwamba watanganyika wengi hizo ndizo habari tunazopenda kusikiliza na kuzisoma...magazeti kama kiu,ijumaa, risasi na mengineyo yanaisha mapema kwa wauzaji na ndiyo yaliyojaa maofisini na majumbani kwetu.....

Hiyo maana yake nini...ina maana kwamba kama taifa tunapenda habari nyepesi, ngono-oriented n.k kuliko habari za kufikirisha. Vijalada vya kilimo bora n.k havina nafasi zama hizi...JAMII YETU IMETENGENEZWA NA KUWA KAMA ILIVYO SASA...ISIYO NA MWELEKEO

Tubadilike.....tuangalie hili kama maradhi/ugonjwa mkubwa....ambao na sisi tumeathirika, tunahitaji jiba kama taifa......

HIKI SIYO KITU KIDOGO KAMA WENGI TUNAVYODHANI...IT HAS BEEN DONE ON PURPOSE...
 
jamani biashara matangazooooo eeeh..... anatafuta mume wa mtu huyoooooo.
 
Back
Top Bottom