Clouds: Acheni kufagilia upuuzi - wewe Diva - Loveness Love unajiaibisha....

Nakereka watu kujifanya sijui wanahela wakati za kubadilishia mboga....awe realistic sio kufake life..


Hilo ni tatizo lako. Kukereka kwa mambo yasiyokuhusu. Blog ni yake, unachoweza kufanya ni kuacha kuitembelea
 
Labda anahubiri bia huku anakunywa soda. Mi simjui vizuri huyu dada ila siku moja pale moshi nikisubiria show ya ngwasuma akapita na jamaa mmoja watu wakawa wanasema huyu sio diva wa clouds? wakasema ndiye basi mwingine akasema diva ametoka kulipia chumba mapema kati ya zebra au bufalo hotel ili baada ya show wakapumzike. Ninachojua watu wa habari na wasanii ni kioo cha jamii hivyo matendo yake yanweza kuangaliwa pia. Pamoja na hayo yote mimi nadhani ni vyema tusimjadili mtu nguoni, tumjadili utendaji wake maana sidhani kama kuna mtu ambaye nguoni hana udhaifu.
 
WoS
Hata usiwe na pressure, huyo loveness ana usafi gani, kama si kinuka mkojo, ikiwa mdomo wake umeoza, hachagui cha kuongea, kunako majambo kutakuaje? achana nae... anapata maume za watu wenye ma frusration ya maisha. mume wa mtu wa maana hawezi kumpata.

HAYA SASA..WAMEACHA YAO..wanawazungumzia wazazi wao kuwa walianza mapenzi kazini! MWISHO WATASIMULIA YASIYOSEMEKANA! Nyie subirini tu...
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom