Cloning facebook for newgen Tanzania

Habari mabibi na mabwana,ujue kila mzazi anapenda ampeleke mwanaye shule nzuri ili aweze kupata elimu bora lkn yule mtoto kile anachofanya shuleni mzazi hakijui bali mtoto anamletea matokeo ya mitihani akiwa na alama za juu kumbe yule mtoto shuleni haumizi kichwa yani anachofanya ni kuchukua ganda la ndizi analiweka chini ya mguu anakanyaka tena kwenye mlenda anatelezaaaa! Anapenda kuchukua mkono wa kushoto na kupeleka mkono wa kulia hapendi kuumiza kichwa! Karibu kwenye kipindi cha copy n' paste!

•Ujue we mbayaaa wewe,yaniii mbayaaaaa,da yani unatishaaa umewezaje kupiga hizo code?
•halafu bro kuna website flan hiv ya jamaa anajiita mark zuckerberg yani kama yako nadhani amekuigaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
HaBari wana Jf
Tumekua tukitumia mtandao wa kijamii facebook na kuuona ni wa muhimu, Ila facebook imekua na restriction na bureaucracy za kimarekani kwasababu ni made in US. Tuachane na hayo, hayatuhusu, kikubwa ni kwamba wabongotunaweza pia kuwa na chetu ambacho kina maadili na bureaucracy za kibongo.
Ndiyo maana mimi nikaamua kuanzisha BongoBest, www.bongobest.com
Kama una wazo ama swali, Uliza.
Mchango wa kiufundi (php) pia unahitajika. (wasiliana, tuma pm mesej)

naona ushauri wa wadau umekaa sawasawa badala ya wewe kuanza kubishana na kutaka ionekane wewe ni mkali, ni vema ukaumiza kichwa ili hata wakati huu uko skonga unaweza tumia hio bongobest kama project yako, meanwhile ikawa source ya income na kukupa changamoto ili uysogee hatua kadhaa mbele. kwahio usikasirike hii project sio perfect inamapungufu ambayo yameonekana na ndio wadau wanakuambia. hivyo umiza kichwa.

YouR MoST UNhaPPy CuSToMers ArE YoUr GREateST SOurCE Of LEarNInG"- BiLL GaTEs hii ni signature ya TRAM ALMAS unaweza pia jifunza kupitia hiyo
 
OK let us see what we can learn thru this. Nimeipenda spirit yako ya kujitahidi kufanya kitu with the self-employment focus.
 
naona ushauri wa wadau umekaa sawasawa badala ya wewe kuanza kubishana na kutaka ionekane wewe ni mkali, ni vema ukaumiza kichwa ili hata wakati huu uko skonga unaweza tumia hio bongobest kama project yako, meanwhile ikawa source ya income na kukupa changamoto ili uysogee hatua kadhaa mbele. kwahio usikasirike hii project sio perfect inamapungufu ambayo yameonekana na ndio wadau wanakuambia. hivyo umiza kichwa.

YouR MoST UNhaPPy CuSToMers ArE YoUr GREateST SOurCE Of LEarNInG"- BiLL GaTEs hii ni signature ya TRAM ALMAS unaweza pia jifunza kupitia hiyo

yes, bill was 100% right. And one more thing he also forgot to tell is that, after the critics of the unhappy customers, do what you intended. I HOPE YOU DONT KNOW WHAT I INTENDED. See this quote fron Steve Jobs, as he was telling his late night programmer................
 
yes, bill was 100% right. And one more thing he also forgot to tell is that, after the critics of the unhappy customers, do what you intended. I hope you dont know what i intended. See this quote fron steve jobs, as he was telling his late night programmer................
sasa hii product sio yako umitengeneza kwaajili ya wadau na wadau ndo wanakupa maoni. Ikiwa hutaki maoni na kukosolewa ungeifungia chumban bt kama umeileta jamvini, sikiliza maoni ya wadau yawe challenge kwako sio kuji-defend kanakwamba hio project ni kwaajili yako peke yako.

Ok labda nisikulazimishe kuchukua ideas kama huhitaji bt yangu machache ni hayo
 
Kazi iko pouwa tu.... Ila cloning aint a good idea bro... Its best kuwapa watu new features. Kipya kinyemi but kunausemi unasema nabii hakubaliki kwao,
 
HaBari wana Jf
Tumekua tukitumia mtandao wa kijamii facebook na kuuona ni wa muhimu, Ila facebook imekua na restriction na bureaucracy za kimarekani kwasababu ni made in US. Tuachane na hayo, hayatuhusu, kikubwa ni kwamba wabongotunaweza pia kuwa na chetu ambacho kina maadili na bureaucracy za kibongo.
Ndiyo maana mimi nikaamua kuanzisha BongoBest, BongoBest Community
Kama una wazo ama swali, Uliza.
Mchango wa kiufundi (php) pia unahitajika. (wasiliana, tuma pm mesej)

just the idea of wanting people to use it b'cos its tz product is primitive. Ha22mii fb kwa sababu ni ya US, 2na2mia sababu huduma zake ni nzuri.
 
dah kijana unaona easy eeh jengo la facebook tu halifanani na wizara yoyote ya tanzania kwa ukubwa na wingi wa wafanyakazi. Unachokiona facebook ni product yao hawajatumia script za kudownload kama wewe. Nakushauri bora umiliki kablog kako kadogo tu

I see, umemkatisha tamaa.
 
Wabongo tatizo tunakatishana Tamaa sana, Hivi unadhani Mark zuckerberg alipata watu wenye majungu hivi? Alikuwa mwana chuo tu..! Ilitakiwakumpa ushauri wa nini chakufanya ilikufikia mafanikio. Na si kupiga majungu kama -_-_ Tutumie akili, Hata facebook ilianza na mmili mmoja na marafiki wakajiunga na kuunda team iliyopelekea mafanikio. Sasa marafiki wa sam ndio wapiga majungu na wakatisha tamaa
 
Mtu mwenye vision anaonekana we umejirekebisha lakini pia ulianza hivi hivi aspojirekebisha nayeye hatafika popote.

Angalia humu ndan jf kuna watu kama young master, kilongwe, mtazamaji, kang ona wanavyopresent vitu vyao huwez ona uchafu wa design hii kwenye coment hata sku 1.

I hope hata mark hakua hivo
 
So hii ndio njia nzuri ya kumrekebisha mtu? chief-mkwawa

brother Donn anayoambiwa SamJet ni kweli tupu japo ni opinion za watu, wala sio majungu, kwani SamJet akifanikiwa kutoka kwa hicho anachofanya sisi itatubadili nini? tutabaki hivihivi... mfano kanijibu kuwa yeye hana njaa ya namna hiyo kupata sponsors, hilo jibu tosha likanifanya kuona napoteza calories zangu kumshauri mtu ambae wala hana mpango wa ushauri ila tu alitaka kuji boast na script yake clone, nnachompendea chief-mkwawa ni kuwa uwa hana mambo ya kumpamba pamba mtu hata kama anaonekana anakosea. Wewe wakati unaanza ulikuja na mbwembwe mi nikajua tu huyu ni amateur na hajui watu anaojaribu ku argue nao wana uwezo kiasi gani, labda ulikuwa una knowledge kidogo kutoka kwa rafiki yako sasa unapojaribu kubishana na mimi ambaye nimefanya hicho unajifanya unakijua tangu miaka kumi iliyopita inabidi tu nikuache waje kina chief-mkwawa wakunange baadae utoe majibu mabaya uone wadau wa jukwaa hili wana majungu. hapa tuna rekebishana tu na kupeana maujanja kwa wale wanaokuwa tayari kupokea, mimi nimejifunza mambo kibao tu hapa kimya kimya, thanks God umekuwa mtoto mzuri siku izi i hope una make progress
 
Last edited by a moderator:
mkuu mbona hiyo interface yake ni kama ya FB.achana na mambo ya copy & paste buni cha kwako.
 
Kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaziiiiiiiiii kwelikweli. Kama kweli we web designer nitafute nikupe theme siyo hii uliyofanya. MI nawaheshimu sana watu wa jukwaa hili, ushauri wao mara nyingi utakujenga. NAKUSISITIZIA ACHANA na mipango hii. Sijakuelewa kabisa, kwanza niishie hapa
 
Yawezekana kila mtu akawa na matatizo, sijamuunga mkono samjet kwa kufanya cloning. Japokuwa yawezekana alikuwa na majibu mabovu, lakini hiyo ni reaction, Hebu ni mkumbuke Newton: to every action there is equal and oposite reaction.

Yawezekana ukatazama kwa upande wako... Lakini hapo juu kunacomment za kipuuzi ambazo mtaalamu hatakiwi kutoa... Kunawatu ambao sina matatizo nao eg chief-mkwawa MtotoSix na wengine wachache... Ila pia kuna watu ambao sijawahi kuona wakitoa mchango wa mawazo positive...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom