Halafu kama nakumbuka SamJet ulishawahi kuja na kitu kama hiki. YES! Ilikuwa inaitwa RafikiBuzz ambayo nayo ilikuwa community site too. What happened?
Ni hii hapa: RafikiBuzz The African Number 1 Social Network
It is better-looking and sophisticated kuliko hiyo Bongobest! Although bado muonekano kidogo unafanana na Facebook.
facecook.. hahahahahahaya na mimi nimekuja na clone yangu cc Donn SamJet GIVENALITY ndetichia nurbert leh NingaR
llink hii hapa chini
Social Network
haya na mimi nimekuja na clone yangu cc Donn SamJet GIVENALITY ndetichia nurbert leh NingaR
llink hii hapa chini
Social Network
HaBari wana Jf
Tumekua tukitumia mtandao wa kijamii facebook na kuuona ni wa muhimu, Ila facebook imekua na restriction na bureaucracy za kimarekani kwasababu ni made in US. Tuachane na hayo, hayatuhusu, kikubwa ni kwamba wabongotunaweza pia kuwa na chetu ambacho kina maadili na bureaucracy za kibongo.
Ndiyo maana mimi nikaamua kuanzisha BongoBest, BongoBest Community
Kama una wazo ama swali, Uliza.
Mchango wa kiufundi (php) pia unahitajika. (wasiliana, tuma pm mesej)
Hahaha... Naona sasa imekuwa game hii mtoto6
mtotosix hayupo humu siku izi, mimi sifanyi huu uzushi, nimekumbuka tu kuwa nilikuwa script yangu ya social engine zamaani nikata muione hehehe mnipe ushauri wa php (natania) just teasing samjet