Chuo kinachotoa Masters Degree ya Statistics

bango

Senior Member
Apr 12, 2012
128
33
Wakubwa kwemaaa...naomba kujua chuo gani Tz kinatoa MSc (Statistics) bora with reasonable fee, nataka kujiunga this yr 2016....help!!
 
SAUT- Mwanza ingia kwenye website Yao ya Saut. Ac. tz. Nenda download prospectus Yao na Fee structure Yao utaona programs zao na bei kwa fee structure hyo.
 
"chuo cha takwimu changanyikeni?"bukoba-boy
Ndio kuna chuo cha takwimu mlimani mbele kule mtaa unaitwa changanyikeni..ni chuo pekee kinachotoa official statistics degree afrika ya mashariki,kati na kusini.Mkuu wa chuo ni mume wa director wa NBS...kuna wanafunzi toka ghana,Zambia, south sudan,Malawi n.k
 
vipi iyo official statistic kwenye soko la ajira hapa bongo kwa level ya masters
 
Back
Top Bottom