zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 1,828
- 2,574
Wenye uwezo mkubwa wa KUKARIRI na KUMEZA TUidadi ya wanaomaliza huwa ni wale walioamua kuwa serious tu
Wenye uwezo mkubwa wa KUKARIRI na KUMEZA TUidadi ya wanaomaliza huwa ni wale walioamua kuwa serious tu
Hakika huwezi Kufundishwa na Mapadre wa Kikatoliki ukawa Mpumbavu na usiwe Genius. Asanteni Wakatoliki na SAUT Mwanza kwani kwa Madini mliyonipa 2006 hadi 2009 yamenipa Jeuri Kubwa kokote ninapokuwa kutokana na Kuniongezea Akili nyingi na zilizotukuka Kichwani mwangu.Ni ukweli uliowazi kuwa taasisi za catholic huwa hazina mzaha mzaha tujiulize tu kwa nini mwanafunzi hasa miaka ile ya nyuma unakuta kafail primary kwenda shule bora za serikali kama Ilboru, Tabora boys nk. Lakini mwanafunzi huyohuyo anaopt kwenda Maua semiry, Imboru au Kipalapala halafu mwisho wa siku mwanafunzi huyu anaibuka na ufaulu mzuri zaidi ya wale waliokwenda huko kwa vipanga. Nilichogundua mapadre wanaelimu zuri sana akikufundisha usipoelewa basi wewe ni tatizo.
Yote yanawezekana, si ndiyo kinachoangaliwa na mfumo wenu wa elimu!Wenye uwezo mkubwa wa KUKARIRI na KUMEZA TU
Huu uzi maadam umefika najua umeshauteka nyara tayari na kuna watu wanaukimbia now now🤣🤣Hakika huwezi Kufundishwa na Mapadre wa Kikatoliki ukawa Mpumbavu na usiwe Genius. Asanteni Wakatoliki na SAUT Mwanza kwani kwa Madini mliyonipa 2006 hadi 2009 yamenipa Jeuri Kubwa kokote ninapokuwa kutokana na Kuniongezea Akili nyingi na zilizotukuka Kichwani mwangu.
Law school inafelisha wanafunzi, hilo ndio suala la msingi.Ungeweka idadi ya wanafunzi wanajiunga law school kutokea SAUT
Mfano UDSM wanafunzi waliojiunga law school wapo 100, alafu 10 wakafaulu
SAUT wanafunzi waliojiunga law school wapo 500, aalfu 30 wakafaulu. Hapo utassma wanafunzi wa SAUT wanafaulu sana law school?
Pamoja na kwamba sifuatilii sana hayo mamboKwa sheria UDSM na Mzumbe ndio zinaongoza nadhani SAUT ya Tatu kwa sheria nchini.
Report ingesema wahitimu kutoka SAUT Mwanza ndiyo wenye mwamko wa kuendelea na masomo ya sheria kwa kujiunga na Chuo cha Sheria Tanzania, bado mngesema wataje na idadi ya waombaji wote walioomba na kukataliwa.Ungeweka idadi ya wanafunzi wanajiunga law school kutokea SAUT
Mfano UDSM wanafunzi waliojiunga law school wapo 100, alafu 10 wakafaulu
SAUT wanafunzi waliojiunga law school wapo 500, aalfu 30 wakafaulu. Hapo utassma wanafunzi wa SAUT wanafaulu sana law school?
Naona mnahalalisha ufelishaji wa wanafunzi unaofanywa na law school of Tanzania, makanjanja ni LST brazajHapa haijalishi unaleta wangapi, kikubwa ni kuwa wakifika Law school ngoma inaanza upya! UD si inajinasibu inachukua div I kutoka best sec school kama ilboru, Kibaha, mzumbe, Tabora boys nk.. mbona hawafurukuti sasa? Makanjanja tu hamna kitu!
Ile haikuwa report, ilikuwa ni usanii. Haijasaidia chochote, ilishaonwa kuwa ile ripoti haitosaidia kitu.Je report ya mbunge wa zamani wa Kyela imesaidia nini kuhusu ufaulu wa Law school?
Kwahiyo unataka wafaulishwe ingali kichwani hawana uwezo huo?Naona mnahalalisha ufelishaji wa wanafunzi unaofanywa na law school of Tanzania, makanjanja ni LST brazaj
Wale wenzangu na mimi ambao hatujui hata maana ya " Law School " tupeane ata hi!! kwa mbali tu.Chuo cha Mtakatifu Augustino cha Mwanza Campus Ya Malimbe Imeendelea Kushika Kasi katika Nafasi za Ufaulu Shule ya Sheria Kwa wahitimu Wanamaliza
Hayo Yanajiri Baada Ya idadi Kubwa Ya Wanafunzi Wanao fanya Vizuri Kutokea Chuo Cha SAUT
Mwaka jana wanafunzi 633 walifanya mtihani wa kuhitimu stashahada ya juu ya sheria kwa vitendo (PGD in Legal Practice). Kati yao ni wanafunzi 26 tu waliofaulu kwenye mkao wa kwanza (first sitting). Kati ya hao 26 wanafunzi 11 (sawa na 42%) ni wahitimu wa chuo kikuu cha St.Augustine, Mwanza (SAUT). 15 waliosalia walitoka vyuo vingine.
Mwaka huu (waliohitimu mwezi January) ni wanafunzi 821. Waliofaulu (first sitting) ni 23 tu. Kati ya hao 23, wanafunzi 10 sawa na 46% wametoka SAUT. 14 waliosalia wametoka vyuo vingine kama UDSM, Mzumbe, Tumaini, Open University, Makumira, SMMCO, St.John, MOCU etc.
Kwa miaka miwili mfululizo karibu nusu ya wanafunzi wanaofaulu Law School ni wahitimu wa SAUT.
SOURCES Via Malisa Gj
View attachment 2608611
Shule watu wanaenda kujifunza ili wafaulu, sio kufeli.Kwahiyo unataka wafaulishwe ingali kichwani hawana uwezo huo?
Umetumia kigezo gani kusema kuwa wanafelishwa?Shule watu wanaenda kujifunza ili wafaulu, sio kufeli.
Hakuna anayetaka kufaulishwa, watu wanataka kusahishiwa mitihani kwa haki.
Hebu tuambie, taarifa kuwa law school wamefaulu wanafunzi 21 tu umeipata wapi?
Wewe una ndugu yako, taarifa zako ni za kuambiwa.Umetumia kigezo gani kusema kuwa wanafelishwa?
Haki ndio hiyo imetendeka kwa waliofaulu na waliofeli wamepata walichostahili.
Hizo taarifa za matokeo zipo wazi zilitangazwa. Nina ndugu yangu nae alifanya mtihani na amefeli anakiri wazi kuwa mambo huko ni magumu.
Kwahiyo unataka kusema hizo taarifa za matokeo na takwimu zilizotolewa sio za kweli?Wewe una ndugu yako, taarifa zako ni za kuambiwa.
Tovuti ya law school hii hapa THE LAW SCHOOL OF TANZANIA ukiona katika tovuti hiyo taarifa iliyotoa summary ya ufaulu wa wanafunzi, tuoneshe.
Ubanaji wa taarifa hiyo na nyinginezo ndiyo kigezo kimojawapo kuonesha ufelishaji wa wanafunzi. Wanafunzi wananyimwa taarifa ziwahusuzo.
Law School hata kukata rufaa ya mtihani ni kwa kubabaisha, ni lazima uwe na sababu ya rufaa, kitu ambacho sio sawa. NECTA hapo watoto wa form 4 wanakata rufaa kirahisi tu bila masharti (kuwa na sababu) na wanakuwepo wakati wa usahishwaji wa mitihani yao.
Mimi naamini kuwa gazeti la mwananchi linaandika habari za kweli.Kwahiyo unataka kusema hizo taarifa za matokeo na takwimu zilizotolewa sio za kweli?
Mwambie ndugu yako asome hizi kanuni za Rufaa maana hawezi kuzipata kwenye tovuti ya law school au hata stationery za around law school.Haki ndio hiyo imetendeka kwa waliofaulu na waliofeli wamepata walichostahili.
Hizo taarifa za matokeo zipo wazi zilitangazwa. Nina ndugu yangu nae alifanya mtihani na amefeli anakiri wazi kuwa mambo huko ni magumu.
SAUT hoyeeeeeee!Chuo cha Mtakatifu Augustino cha Mwanza Campus Ya Malimbe Imeendelea Kushika Kasi katika Nafasi za Ufaulu Shule ya Sheria Kwa wahitimu Wanamaliza