Chuo cha SAUT kinara ufaulu Shule ya Sheria

Ni ukweli uliowazi kuwa taasisi za catholic huwa hazina mzaha mzaha tujiulize tu kwa nini mwanafunzi hasa miaka ile ya nyuma unakuta kafail primary kwenda shule bora za serikali kama Ilboru, Tabora boys nk. Lakini mwanafunzi huyohuyo anaopt kwenda Maua semiry, Imboru au Kipalapala halafu mwisho wa siku mwanafunzi huyu anaibuka na ufaulu mzuri zaidi ya wale waliokwenda huko kwa vipanga. Nilichogundua mapadre wanaelimu zuri sana akikufundisha usipoelewa basi wewe ni tatizo.
Hakika huwezi Kufundishwa na Mapadre wa Kikatoliki ukawa Mpumbavu na usiwe Genius. Asanteni Wakatoliki na SAUT Mwanza kwani kwa Madini mliyonipa 2006 hadi 2009 yamenipa Jeuri Kubwa kokote ninapokuwa kutokana na Kuniongezea Akili nyingi na zilizotukuka Kichwani mwangu.
 
Wenye uwezo mkubwa wa KUKARIRI na KUMEZA TU
Yote yanawezekana, si ndiyo kinachoangaliwa na mfumo wenu wa elimu!
kunachoshangaza ni Mtu anasimama aibuless na kudai shule au Chuo fulani ndiyo the best sababu huwa kinachukua division one pekee, halafu anadharau kinachochukua moderate performers na kuwatengeneza kuwa the best.
 
Hakika huwezi Kufundishwa na Mapadre wa Kikatoliki ukawa Mpumbavu na usiwe Genius. Asanteni Wakatoliki na SAUT Mwanza kwani kwa Madini mliyonipa 2006 hadi 2009 yamenipa Jeuri Kubwa kokote ninapokuwa kutokana na Kuniongezea Akili nyingi na zilizotukuka Kichwani mwangu.
Huu uzi maadam umefika najua umeshauteka nyara tayari na kuna watu wanaukimbia now now🤣🤣
 
Ungeweka idadi ya wanafunzi wanajiunga law school kutokea SAUT

Mfano UDSM wanafunzi waliojiunga law school wapo 100, alafu 10 wakafaulu
SAUT wanafunzi waliojiunga law school wapo 500, aalfu 30 wakafaulu. Hapo utassma wanafunzi wa SAUT wanafaulu sana law school?
Law school inafelisha wanafunzi, hilo ndio suala la msingi.
 
Kwa sheria UDSM na Mzumbe ndio zinaongoza nadhani SAUT ya Tatu kwa sheria nchini.
Pamoja na kwamba sifuatilii sana hayo mambo
ila ujue data za maiaka 15 iliyopita sio lazima kuwa hizo hizo......usikariri....
Waalimu/Wakufunzi wazuri wanahama kutafuta green pasture Serikalini nk wengine wanastaafu, facility nzuri zinakuja kwa vyuo vipya nk
 
Ungeweka idadi ya wanafunzi wanajiunga law school kutokea SAUT

Mfano UDSM wanafunzi waliojiunga law school wapo 100, alafu 10 wakafaulu
SAUT wanafunzi waliojiunga law school wapo 500, aalfu 30 wakafaulu. Hapo utassma wanafunzi wa SAUT wanafaulu sana law school?
Report ingesema wahitimu kutoka SAUT Mwanza ndiyo wenye mwamko wa kuendelea na masomo ya sheria kwa kujiunga na Chuo cha Sheria Tanzania, bado mngesema wataje na idadi ya waombaji wote walioomba na kukataliwa.
 
Hapa haijalishi unaleta wangapi, kikubwa ni kuwa wakifika Law school ngoma inaanza upya! UD si inajinasibu inachukua div I kutoka best sec school kama ilboru, Kibaha, mzumbe, Tabora boys nk.. mbona hawafurukuti sasa? Makanjanja tu hamna kitu!
Naona mnahalalisha ufelishaji wa wanafunzi unaofanywa na law school of Tanzania, makanjanja ni LST brazaj
 
Chuo cha Mtakatifu Augustino cha Mwanza Campus Ya Malimbe Imeendelea Kushika Kasi katika Nafasi za Ufaulu Shule ya Sheria Kwa wahitimu Wanamaliza

Hayo Yanajiri Baada Ya idadi Kubwa Ya Wanafunzi Wanao fanya Vizuri Kutokea Chuo Cha SAUT

Mwaka jana wanafunzi 633 walifanya mtihani wa kuhitimu stashahada ya juu ya sheria kwa vitendo (PGD in Legal Practice). Kati yao ni wanafunzi 26 tu waliofaulu kwenye mkao wa kwanza (first sitting). Kati ya hao 26 wanafunzi 11 (sawa na 42%) ni wahitimu wa chuo kikuu cha St.Augustine, Mwanza (SAUT). 15 waliosalia walitoka vyuo vingine.

Mwaka huu (waliohitimu mwezi January) ni wanafunzi 821. Waliofaulu (first sitting) ni 23 tu. Kati ya hao 23, wanafunzi 10 sawa na 46% wametoka SAUT. 14 waliosalia wametoka vyuo vingine kama UDSM, Mzumbe, Tumaini, Open University, Makumira, SMMCO, St.John, MOCU etc.

Kwa miaka miwili mfululizo karibu nusu ya wanafunzi wanaofaulu Law School ni wahitimu wa SAUT.

SOURCES Via Malisa Gj

View attachment 2608611
Wale wenzangu na mimi ambao hatujui hata maana ya " Law School " tupeane ata hi!! kwa mbali tu.
 
Shule watu wanaenda kujifunza ili wafaulu, sio kufeli.

Hakuna anayetaka kufaulishwa, watu wanataka kusahishiwa mitihani kwa haki.

Hebu tuambie, taarifa kuwa law school wamefaulu wanafunzi 21 tu umeipata wapi?
Umetumia kigezo gani kusema kuwa wanafelishwa?
Haki ndio hiyo imetendeka kwa waliofaulu na waliofeli wamepata walichostahili.

Hizo taarifa za matokeo zipo wazi zilitangazwa. Nina ndugu yangu nae alifanya mtihani na amefeli anakiri wazi kuwa mambo huko ni magumu.
 
Wewe una ndugu yako, taarifa zako ni za kuambiwa.

Tovuti ya law school hii hapa THE LAW SCHOOL OF TANZANIA ukiona katika tovuti hiyo taarifa iliyotoa summary ya ufaulu wa wanafunzi, tuoneshe.

Ubanaji wa taarifa hiyo na nyinginezo ndiyo kigezo kimojawapo kuonesha ufelishaji wa wanafunzi. Wanafunzi wananyimwa taarifa ziwahusuzo.

Law School hata kukata rufaa ya mtihani ni kwa kubabaisha, ni lazima uwe na sababu ya rufaa, kitu ambacho sio sawa. NECTA hapo watoto wa form 4 wanakata rufaa kirahisi tu bila masharti (kuwa na sababu) na wanakuwepo wakati wa usahishwaji wa mitihani yao.
 
Kwahiyo unataka kusema hizo taarifa za matokeo na takwimu zilizotolewa sio za kweli?
 
Haki ndio hiyo imetendeka kwa waliofaulu na waliofeli wamepata walichostahili.

Hizo taarifa za matokeo zipo wazi zilitangazwa. Nina ndugu yangu nae alifanya mtihani na amefeli anakiri wazi kuwa mambo huko ni magumu.
Mwambie ndugu yako asome hizi kanuni za Rufaa maana hawezi kuzipata kwenye tovuti ya law school au hata stationery za around law school.

Hizi hata ukeshe kuomba upewe nakala, huwezi kupewa.
 
Attachments

  • Screenshot_2023-05-04-09-03-14-694_com.google.android.apps.docs.jpg
    Screenshot_2023-05-04-09-03-14-694_com.google.android.apps.docs.jpg
    104.7 KB · Views: 4
Chuo cha Mtakatifu Augustino cha Mwanza Campus Ya Malimbe Imeendelea Kushika Kasi katika Nafasi za Ufaulu Shule ya Sheria Kwa wahitimu Wanamaliza

Hayo Yanajiri Baada Ya idadi Kubwa Ya Wanafunzi Wanao fanya Vizuri Kutokea Chuo Cha SAUT

Mwaka jana wanafunzi 633 walifanya mtihani wa kuhitimu stashahada ya juu ya sheria kwa vitendo (PGD in Legal Practice). Kati yao ni wanafunzi 26 tu waliofaulu kwenye mkao wa kwanza (first sitting). Kati ya hao 26 wanafunzi 11 (sawa na 42%) ni wahitimu wa chuo kikuu cha St.Augustine, Mwanza (SAUT). 15 waliosalia walitoka vyuo vingine.

Mwaka huu (waliohitimu mwezi January) ni wanafunzi 821. Waliofaulu (first sitting) ni 23 tu. Kati ya hao 23, wanafunzi 10 sawa na 46% wametoka SAUT. 14 waliosalia wametoka vyuo vingine kama UDSM, Mzumbe, Tumaini, Open University, Makumira, SMMCO, St.John, MOCU etc.

Kwa miaka miwili mfululizo karibu nusu ya wanafunzi wanaofaulu Law School ni wahitimu wa SAUT.

SOURCES Via Malisa Gj

View attachment 2608611
SAUT hoyeeeeeee!
 
Back
Top Bottom