Chukulia kwamba we ni mzazi wangu

Unajua, viboko havivunji, so hakuna issue ya matibabu apo...atajikuna tu
Haya bana siwezi bishana nawewe ningeweza kumchapa shemeji yako ningekuwa na prove ila siwezi sasa ndio basi tena ..
 
I'm a teenage boy(11-19)
chukulia kwamba we ni mazazi wangu,umepata ushahidi kwa kadi au barua au msg kwenye simu yangu kwamba nina demui.
We kama mzaz wangu tanikataza nisiwe na demu,au utanishauri kitu gani na kuniambia nn?

Leo shule hujaenda eeeh?
Bora hata usingeweka umri wako hapo
Nakukata makofi kiukweli
 
Wala usiyaharakie mapenzi; una muda mrefu wa kucheza nayo hadi ya kuyachoka huko mbeleni lakini bahati mbaya una muda mfupi sana wa kujenga msingi imara wa maisha yako; jenga msingi imara ; mapenzi yatakuja yenyewe wala hutahangaika kuyafuata.
 
I'm a teenage boy(11-19)
chukulia kwamba we ni mazazi wangu,umepata ushahidi kwa kadi au barua au msg kwenye simu yangu kwamba nina demui.
We kama mzaz wangu tanikataza nisiwe na demu,au utanishauri kitu gani na kuniambia nn?

Nitakwambia ukazane na shule tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom