Chukueni tahadhari na dawa hii, TFDA na Wizara ya Afya mpo wapi?

Kuna dawa ya kutibu malaria maarufu inayojulikana kwa jina la MALAFIN
View attachment 457836

Hiyo dawa hapo juu ndani ina vidonge viwili na huwa inauzwa kwa bei ya sh 1500, na sehemu nyingine huwa ni sh 2000.

Baada ya kuitumia kwa zaidi ya mara tatu, kila muda ninapoitumia imeniletea madhara ikiwemo uvimbe kama mvilio wa damu kwenye kichwa cha uume na ngozi ya uume kuchubuka. Pia mdomo nao kwenye lips kumetokea mchubuko na mvilio wa damu.

Baada ya kwenda hospitali kuonana na doctor kumuelezea hali yangu ilivyo baada ya kuitumia ile dawa nliyonunua pharmacy. Doctor aliniambia kuwa hizo dawa ni hatari sana na zinaweza kupofua macho na hata kuharibu system ya nguvu za kiume na akanitaka iwe mwanzo na mwisho kuzitumia kwa usalama wangu

USHUHUDA

Baada ya kuelezea hili tatizo kwa watu wengine kuna baadhi nao wamesema limeshawatokea. Zaidi ya watu watatu waliniambia kuwa nao tatizo hili liliwapata.

My take

TFDA kama mnadhani huu uzi ni wa kuchafuliana biashara, chukueni sample ya hizi dawa zilizozagaa nchi nzima na huko kwenye mapharmacy ndio zinauzwa kama njugu na watu wanazinunua sana kwa sababu ni bei rahisi.

Baada ya kuzichukua zifanyieni uchunguzi ikibidi na nyie mnywe kabisa ili muone matokeo yake. Hizi dawa ni feki matokeo yake ndio magonjwa ya cancer yanayotuuwa kila siku.

Chukueni Tadhadhari
Midawa ya kizungu karibu yote ina sumu jamani tumieni dawa zetu za asili za Tiba mbadala hazina madhara kwa afya ya binadamu. Ma-Daktari wengi siku hizi wanafanayt biashara na wanaouza dawaaka Pharmacy jihadharini nao hao Ma-Daktari wanaofanya biashara na wanauza Madawa ya sumu aka madawa ya kizungu Biashara ya kuuza dawa za sumu aka Drug ipo sehemu zote duniani na watu wanakufa kila siku.Ukihitaji Dawa ya kukutibu ugonjwA wako wa Malaria nitafute mimi kwa wakati wako.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Kuna dawa ya kutibu malaria maarufu inayojulikana kwa jina la MALAFIN
View attachment 457836

Hiyo dawa hapo juu ndani ina vidonge viwili na huwa inauzwa kwa bei ya sh 1500, na sehemu nyingine huwa ni sh 2000.

Baada ya kuitumia kwa zaidi ya mara tatu, kila muda ninapoitumia imeniletea madhara ikiwemo uvimbe kama mvilio wa damu kwenye kichwa cha uume na ngozi ya uume kuchubuka. Pia mdomo nao kwenye lips kumetokea mchubuko na mvilio wa damu.

Baada ya kwenda hospitali kuonana na doctor kumuelezea hali yangu ilivyo baada ya kuitumia ile dawa nliyonunua pharmacy. Doctor aliniambia kuwa hizo dawa ni hatari sana na zinaweza kupofua macho na hata kuharibu system ya nguvu za kiume na akanitaka iwe mwanzo na mwisho kuzitumia kwa usalama wangu

USHUHUDA

Baada ya kuelezea hili tatizo kwa watu wengine kuna baadhi nao wamesema limeshawatokea. Zaidi ya watu watatu waliniambia kuwa nao tatizo hili liliwapata.

My take

TFDA kama mnadhani huu uzi ni wa kuchafuliana biashara, chukueni sample ya hizi dawa zilizozagaa nchi nzima na huko kwenye mapharmacy ndio zinauzwa kama njugu na watu wanazinunua sana kwa sababu ni bei rahisi.

Baada ya kuzichukua zifanyieni uchunguzi ikibidi na nyie mnywe kabisa ili muone matokeo yake. Hizi dawa ni feki matokeo yake ndio magonjwa ya cancer yanayotuuwa kila siku.

Chukueni Tadhadhari
Mimi ni mmoja ya waathirika wa dawa jamii hiyo, na niliwahi kuomba ushauri kuhusu madhara yaliyokuwa yananipata moja wapo ni hayo ya uvimbe kwenye uume kuonekana kama umebabuliwa na maji ya moto na baathi ya sehemu zingine za mwili km midomoni, kifuani krb na matiti ikiambatana na sehemu hizo kuwa za moto sana.
Na moja ya watu walionishauri ni wewe MTI MKAVU kuwa nitumie vitunguu swaumu kwa kufikiria kuwa ni fangas lkn kumbe ilikuwa sio fangas.
Ilinisumbua kwa mda sana yaani kila nilipoimeza madhara yalikuwa yanajirudia yale yale tena sehemu zilezile, aliyenisaidia ni daktar mmoja tena nilikutana nae tu barabarani nikamueleza akanishauri niachana na dawa jamii hizo ziko nyingi sio hiyo tu.
Mimi alinishauri zile zote zenye mchanganyiko wa Sulphur ikiwepo hiyo uliosema, Metacaflin, Amodauin na mwngine ya jamii hiyo.
Na nilivyoacha kuyatumia hadi leo hali ile haijajirudia tena namshukuru Mungu kwa hilo japo madhara nilikuwa nimeisha yapata hasa ktk utendaji wa nguvu za kiume kiukweli ilipungua kwa kiasi fulani.
Labda nikuombe tu MTI MKAVU kama huyo Dr alikuambia namna ya kufanya ili kurejea ktk hali ya kawaida km mtu alikwisha athirika hivyo.
 
Kuna dawa ya kutibu malaria maarufu inayojulikana kwa jina la MALAFIN
View attachment 457836

Hiyo dawa hapo juu ndani ina vidonge viwili na huwa inauzwa kwa bei ya sh 1500, na sehemu nyingine huwa ni sh 2000.

Baada ya kuitumia kwa zaidi ya mara tatu, kila muda ninapoitumia imeniletea madhara ikiwemo uvimbe kama mvilio wa damu kwenye kichwa cha uume na ngozi ya uume kuchubuka. Pia mdomo nao kwenye lips kumetokea mchubuko na mvilio wa damu.

Baada ya kwenda hospitali kuonana na doctor kumuelezea hali yangu ilivyo baada ya kuitumia ile dawa nliyonunua pharmacy. Doctor aliniambia kuwa hizo dawa ni hatari sana na zinaweza kupofua macho na hata kuharibu system ya nguvu za kiume na akanitaka iwe mwanzo na mwisho kuzitumia kwa usalama wangu

USHUHUDA

Baada ya kuelezea hili tatizo kwa watu wengine kuna baadhi nao wamesema limeshawatokea. Zaidi ya watu watatu waliniambia kuwa nao tatizo hili liliwapata.

My take

TFDA kama mnadhani huu uzi ni wa kuchafuliana biashara, chukueni sample ya hizi dawa zilizozagaa nchi nzima na huko kwenye mapharmacy ndio zinauzwa kama njugu na watu wanazinunua sana kwa sababu ni bei rahisi.

Baada ya kuzichukua zifanyieni uchunguzi ikibidi na nyie mnywe kabisa ili muone matokeo yake. Hizi dawa ni feki matokeo yake ndio magonjwa ya cancer yanayotuuwa kila siku.

Chukueni Tadhadhari
Usinunue dawa bila kuandikiwa na daktari.
 
sasa kama una allergy na hio dawa kwanini isikudhuru? na alokwambia ujinunulie tu pharmacy nani? muelezee dokta una allergy ya nini ili ajue dawa ipi inakufaa.
 
Dawa ya malaria nzuri sana ambayo inatumiwa kama prophylaxis kwa akina Mama wajawazito dhidi ya Malaria yaani INTERMITTENT PREVENTIVE THERAPHY OF MALARIA TO PREGNANTS WOMAN.....

Tatizo lenu mnapenda kununua madawa huku mitaani kabla ya kuwaona madaktari, na tabia hii inawaathiri watu wengi sana.... MALAFIN siku hizi zinapatikana clinics pekee mfano RCH......

kuhusu damu kuvilia sehemu ya uume ni SIDE EFFECTS tu ya dawa, maranyingi HOSPITAL huwa DAKTARI anauliza swali hili kabla ya kukuandikia dawa yeyote JE, UNA ALLERGY NA DAWA YOYOTE ??????

wanafanya hivyo ili kuepusha watu na madhara kama hayo....

Anyway, HIYO DAWA UKIISOMA NDANI YAKE KUNA SULPHUR, NA INAONESHA WEWE UKO ALLEGRIC TO SULPHUR HIVYO UNAPO ANDIKIWA DAWA HOSPITALINI USISAHAU KUSEMA YA KWAMBA UNA ALLERGY NA SULPHUR.....

Tx, prescription nzuri sana ya malaria ni :
1/Arthmeter lumefantrine ( ALU)
2/Artesunate injection
3/quinine injection

LAKINI KILA DAWA INA SIDE EFFECTS ZAKE, LAZIMA UFAHAMU HIKI KITU NDUGU YANGU hivyo ni bora urudi tena hospitalini wakubadilishie dawa lakini kama Ndo sisi ambao tukiumwa Kichwa tu, tunaenda duka la dawa naomba tuache hiyo tabia
 
nashukuru sana mkuu. but ninaufahamu mzuri sana wa madawa.
kuhusu kua na Alegre sina hilo tatizo! pia sio mara ya kwanza kutumia hii dawa. ktk kumbu kumbu zangu sijawahi kutumia dawa yoyote ya malaria tofauti na malafin.ila najishangaa na hali niliyonayo sasa kwani nimetoka magamba kama nyoka.
 
Napendekeza wakamatwe maafisa watatu wa TFDA wenye dhamana ya juu kabisa, wafungwe kamba kisha wanyweshwe dawa hizo kwa nguvu, baada ya wiki moja watazifungia.
Anaetakiwa Kukamatwa Ni Huyu Mmeza Dawa Kwa Sababu Anachojaribu Kufanya Ni ......."Attemped Suicide"

-Tatizo Kubwa La Watanzania, Mtu Anaamua Mwenyewe "Kuwa Mgonjwa, Daktari - Anajifanyia Diaginosis + Prescription, Then Anamalizia Kwa Kujifanya Mfamasia Kulingana Na Ugonjwa Anaodhani Anaumwa Utafikiri Yeye Mwemwewe Ni Mtaalamu Wa Maabara, Anaenda Kununua Dawa Na Kumeza! Basi !!

Akipatwa Na Tatizo Lawama Na CCM Na Serikali. Jambo Ambalo Watu Wanashindwa Kujua Ni Kuwa Dawa Zote Zina Allergic Reactions Inabidi Kufuata Taratibu Za Kitabibu. Afya Ni Jambo Muhimu Sana.Mfano Mgonjwa Anapaswa Kupimwa Air Tract, BP, Temperature Kabla Hajashauriwa Dawa Gani Ya Kutumia

- N.B Malafin Hususani Za Italy Zilishapigwa Marufuku Na Dawa Pekee Za Kutibu Malaria Ni SP ( Wajawazito) Na ALu Kwa Wengine
 
Mkuu ni kweli aisee Mimi uume wangu huumabkabisa na mpaka midomo huchubuka dah
 
Sijui ila wataalam watatuelezea zaidi. Ninavyojua miaka yote hizi dawa za Malaria kuna watu zinawatibu na wengine zinawadhuru.

Kwa mfano, mimi nikinywa haya maziwa yanayouzwa madukani kwenye pakti huwa ninawashwa mwili mzima. Ila siwezi kusema haya maziwa yana matatizo.

Sielewi ni nini ila watakuja wataalam watusaidie.
Wewe Una allergic reaction Ya hiyo bidhaa... Huenda hiyo packaging material zina kitu ambacho mwili wako haupendi au maziwa machafu hayo. Pole Sana ndugu. Substandard goods hizo
 
Ahsante mkuu.
 
Back
Top Bottom