Christina Shusho: Mimi na Diamond Platinumz ni marafiki sana

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,479
21,953
Amefunguka da Christina...

"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma"

"Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye tamasha lake, tunafanya tuu kusaidiana maana binafsi nikisema nianze kuweka dau langu hakuna wa kunilipa hiyo pesa"

Christina Shusho, 'Msanii' wa muziki wa Injili Tanzania.

#kuna uwezekano wa Mond kuokoka mwaka huu

1695734306526.jpg
 
Amefunguka da Christina...

"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma"

"Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye tamasha lake, tunafanya tuu kusaidiana maana binafsi nikisema nianze kuweka dau langu hakuna wa kunilipa hiyo pesa"

Christina Shusho, 'Msanii' wa muziki wa Injili Tanzania.

#kuna uwezekano wa Mond kuokoa mwaka huuView attachment 2763075
Huyu kijana wa usafini sina imani naye ni swala la muda tu. Tutakuja kusikia shetani kawapitia 😀 umaarufu na pesa ni fimbo.
 
Back
Top Bottom