Uzinduzi Album ya Christina Shusho

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
478
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Album ya Msanii wa Muziki wa Injili Christina Shusho Aprili 9, 2023 katika Tamasha la Mtoko wa Pasaka lililofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Diamond Platnumz.

20230410_082140.jpg
 
Shusho hazeeki na hapunguzi kuvutia,ningekua anapozindulia hiyo album,ningeenda nikamuonage tu,she is so beautiful.
 
MUISLAMU ANAANDAA TAMASHA LA WAKRISTU, AMEANZA KUIONA NURU NDUGU DIAMOND.
 
Back
Top Bottom