Chonde chonde ndg zangu wanafunzi watarajiwa wa vyuo vikuu msiombe kujiunga na chuo kikuu cha Iringa

Status
Not open for further replies.
Ni vyema ungefafanua kwa kina zaidi hizo changamoto ili wapime kama zina uzito wa kuwafanya wasikichague.
 
Vyuo vikuu vyote vya private n utumbo,walim ni TAs,ada kubwa,ingawa hakuna kudisko lakin mwanafunz kuwa ATM ndo sera yao
 
Vyuo vikuu ni govnt over!kwa kuogopa gharama privet huajir walim weny digrii moja,hawana uwezo,wao wanapiga hela 2
 
Je umetumwa na chama gani mkuu kuja kuharibu sifa ya chuo huku JF:mad::mad:

cjatumwa kaka ila nashauri tu wanaotarajia kuliko waende kujiunga hapo ni bora waende kwengne, chuo hicho kinanyanyasa sana wanafunzi, kipo kimaslah tu kwa maana ya kwamba kwao pesa mbele... mfano. hapo bumu limekuja wanachelewesha kuwapa ilihal pesa hyo unataka utumie pia kulipia ada, wanachelewa makusudi ili deadline ifike ili wakupige penalt 50,000 ya kuchelewesha kulipa ada.. kama ulikua bado hujalipa 50,000 na deadline imefika jua utalipa 100,000 sasa huo utaratb wa wap? na pia yapo maozo meng tu yanayoendelea ikiwa ni pamoja na kuwaibia wanafunzi pesa kimababu, kuna 20,000 kwa ajil ya TCU ASSURENCE hii pesa ulozia kila chuo kama wanalipa, lakin hapa wanasema ni agizo toka TCU etti viongozi va umoja wa marais vyuo vikuu (TAHLISO) walikubaliana kuipitisha, LAKIN MWENYEKITI WA TAHLISHO MWENYEWE ANASEMA PESA HYO HAIJAPITISHWA KUANZA KULIPWA ILA RAIS WA CHUO HK AMELILETA HAPA NA UONGOZI WA CHUO UKAONA NDO SEHEM YA KUPIGIA PESA SAA IV KILA MTU ANALAMISHWA KUILLIPA.
 
Ni vyema ungefafanua kwa kina zaidi hizo changamoto ili wapime kama zina uzito wa kuwafanya wasikichague.

changamoto ni nying kaka ila nakupa chache,
chuo hk kiliagizwa kupunguze ada, kikakubali kupunguza lakin kiasi kilichopunguzwa kikatengenezewa michango na mwanafunzi anaendelea kuilipa so ada bado iko pale pale ada TWO POINT SOMETHING MILLION, pesa inakuja mapema inacheleweshwa then dead line ya kulipa ada inafika unaambiwa umechelewesha ada unapigwa penalty 50,000 kama ulikua hujakamilisha 20,000 hapo utalipa 70,000, ndg hapa kuna uozo mwing sana hata nashangaa sana kuona vyuo vlivofungiwa kwann hk hakikuwemo kwenye list.. ni hayo tu
 
Vyuo vikuu vyote vya private n utumbo,walim ni TAs,ada kubwa,ingawa hakuna kudisko lakin mwanafunz kuwa ATM ndo sera yao

No research no right to talk.UDOM wanakodi lecturers from Bugando, UDOM ni private? Bugando mfano department of physiology kuna two profs ,two senior lecturers na one TA.. Wale specialists wote wa gynecology,obstetrics, surgery wana degree moja eeh!! ongea kwa facts sio kuropoka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom