Chit-Chatua hii picha

of kozi lazima nishtuke sana.....lkn baad aya kuricover - NAWAPOTEZEA TU! Manake inakuwa ize! Ila baadaye lazima nifanye kubwa kuliko to both................
hahahahahaaaa
 
Sithubutu kuendelea kukaa,
asije akanichinja usiku.
Ila wanaume wa Kiafrika,
Lazima mgoni ashikishwe adabu
.

Kumbe hujakuta mgoni mbabe wewe! Mwenye mali nakijifanya kutunisha msuli anatolewa nishai vilevile! Hujaona?
 
Kumbe hujakuta mgoni mbabe wewe! Mwenye mali nakijifanya kutunisha msuli anatolewa nishai vilevile! Hujaona?

unakuwa na vijana wa kazi pembeni wanampumulia mgoni mpaka hamu yao iishe......
Unaleta ubabe mbele ya risasi.........
 
Tena zege Bichi.
Na kupumuliwa juu.
Mnapenda e?
ukisoma vizuri utakuta kuna mtu nishamtamani na nimemsifia kabisa nilichofurahi ni jinsi kamjadala kenu kanavyokua kidogo kidogo.
na vimsisitizo vya mbali ila avatar yako huwa hainiishi kucheka.
 
Back
Top Bottom