Chit-Chatua hii picha

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
...jiweke kwenye nafasi mojawapo kati ya hawa watatu...
then utoe mawazo yako (ki-chit chat zaidi) au hata kiuhalisia pia...
 
Attachments

  • 424327_379495428785030_1665214824_n[1].jpg
    424327_379495428785030_1665214824_n[1].jpg
    15.6 KB · Views: 152
ningekua mie ndo nipo kitandan na huyò dada ningukua tayar kwa lolote
 
Me hapo hata sikimbii,
Namletea Kibesi Mume Wangu.
Akinipiga talaka naenda kwa Huyo Kidume alienikuta Nae.
Na yeye akinikataa Natangaza kutafuta Mchumba mwingine.
Chezeiya!!!
Madame B je mumeo akiamua kakaa kimya tu...
haongelei ilo swala na anakupenda kama mwanzo...
utakaa?
 
Last edited by a moderator:
Madame B je mumeo akiamua kakaa kimya tu...
haongelei ilo swala na anakupenda kama mwanzo...
utakaa?

Sithubutu kuendelea kukaa,
asije akanichinja usiku.
Ila wanaume wa Kiafrika,
Lazima mgoni ashikishwe adabu.
 
Last edited by a moderator:
...jiweke kwenye nafasi mojawapo kati ya hawa watatu...
then utoe mawazo yako (ki-chit chat zaidi) au hata kiuhalisia pia...

ningekuwa mimi nimewakuta ningewaambia wamalizie kwanza dheni mi ndio nianze kuwagonga mmoja baada ya mwingine hasa hicho kidume ningemfanya ******* kabisa
 
Back
Top Bottom