Chit-Chatua hii picha

Hahahahahaha

Me hapo hata sikimbii,
Namletea Kibesi Mume Wangu.
Akinipiga talaka naenda kwa Huyo Kidume alienikuta Nae.
Na yeye akinikataa Natangaza kutafuta Mchumba mwingine.
Chezeiya!!!
 
Am gud shemej.. We unashangaa kuzimia chezeiya kufumaniwa shem.. Tena namna hiyo huna hata cha kujitetea..

shem mimi huwa nawaza scenario kama iyo ikinitokea...
afu huwa sipati majibu,...haswa mimi niwe huyo ninaeingia...loh!!!
 
Ona Udenda unavyokutoka!!!
Utazimika,shauriro!!

Udenda muhimu ila angalia usije msahau mumeo....ohooo...
Unaweza ukawa naye huku unakazana kutamkajina langu tuu....
Kimbwe..... kimbwe....kimbwe.....kimbwekaaaaaaa...
 
Udenda muhimu ila angalia usije msahau mumeo....ohooo...
Unaweza ukawa naye huku unakazana kutamkajina langu tuu....
Kimbwe..... kimbwe....kimbwe.....kimbwekaaaaaaa...

Ushindwe na Ulegee.
Me Mlokole jina.
Rutta atakupiga,we nichezee.
 
BAGAH jamani!
Yule namtongozea demu fulani hivi.
Ukiniachanisha na mme wangu,nakuja kwako.

kwa iyo wewe ni bingwa wa kutongozeshea watu ehh?
akati nilikuona kama unaelekea kibra kabisaa...
ukiachana nae asubuhi jioni njoo kwangu...
kama kazi ya ubar maid...lol
 
kwa iyo wewe ni bingwa wa kutongozeshea watu ehh?
akati nilikuona kama unaelekea kibra kabisaa...
ukiachana nae asubuhi jioni njoo kwangu...
kama kazi ya ubar maid...lol

Thubutuuu!
Me cwez elekea Kibra BAGAH.
Bali nawaonesha njia wale watukutu.
 
Last edited by a moderator:
...jiweke kwenye nafasi mojawapo kati ya hawa watatu...
then utoe mawazo yako (ki-chit chat zaidi) au hata kiuhalisia pia...

omba sana usikutwe kama wewe mpenda vya wenzio si mdada wala mkaka all mtakufa vibudu..
 
Namshukuru BHAGA kwa kutukutanisha.....
Lazima kieleweke....
Mie pia mjahidina swafiiiii........!!

Kwi kwi kwi kwi kwi
Subiri wenye jina lao waje.
Hv ule mpambano wenu na funzadume mshindi alikuwa nani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom