Ni North America ndio imesaidia kuleta mtambo! (capsule and a big crane!) jamani! wenyewe walisha chemsha walikuwa bado wanakuna vichwa! it is absolutely miracle! naona Mario Sepulveda ni wa pili na ndio anatoka sasa! Bless!!! What a cute wifey! !
Kwa wanaotaka kuangalia live BBC News - Chile mine rescue
The BBC's James Read says the number 33 has taken on a special significance for the miners, who are known to be superstitious: there are 33 miners, it took 33 days for the drill to complete the rescue shaft and Roman Catholic Chileans believe Jesus Christ was 33 when he died. Even President Sebastian Pinera mentioned the "magic number" in his triumphant speech after the first miner emerged from the shaft. The date of the rescue 13/10/10, adds up to - you guessed it - 33.
Yesu ni Jibu (usinifungie Mod nikitofautiana na imani yako)
hivi ni kweli walikaa siku zote hizo au ndio cinema ?
Dah kuna watu ..... ni balaa duniani..yaani kwamba hutaki kukubalia au..nini!!
LoyalTzCitizen nasikia capsule imetengenezwa Austria?
bora nimepata ufafanuzi hapa kuhusu hii capsule. Na hii ni teknolojia ya jeshi la maji la chile
Hapa ndo utaona umuhiwu wa wataalamu kutumika kwenye mambo yanayahitaji utaalamu. Sipendi ila ingekuwa imetokea Bongo hii sijui. Ya MV Bukoba inasemekana bla bla ilizidi utaalamu tukapoteza watu, ya Treni vile vile. Siasa kila mahali hadi mashuleni sasa hii si sawa. Nao mchimbaji wa 14 ndo katoka.
ndio tofauti kati ya kwao na kwetu...sio sitaki ni masiku mengi na wanatoka wakiwa wako feet kama haijatokea kitu
imekaa vizuri mkuu...It's quite the opposite, it's science and teamwork, it's the human mind and personal courage, it's individual intelligence and worldwide compassion. To call it a miracle is to belittle mankinds achievement here.21 already rescued.