MNDEE
JF-Expert Member
- Jul 10, 2009
- 491
- 68
Hii ni serious! au ni joke Mkuu!!
Hizo deals zipo walitangaza CNN, leo asubuhi ABC wanasema ziko nyingi tu. Producers wa Holiwood walitia timu pale muda, na hata TV programs including Who wants to be a milionea wako pale. Watu kama Ophra utakuta wako kwenye pilikapilika za nguvu kuwapata.