Ujengelele
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 1,253
- 22
Larry King anaionyesha pia live. Mwanzoni ilikuwa inasemekana wangeokolewa November sasa wamesave mwezi mzima. Ni hali ya kutia moyo sana wote 33 kuweza kuwa hai hadi leo hii.
Safi sana jamaa liko fiti aise!! duh, yule jamaa aliyeshuka kuwacheki naona kaamua kubaki nao huko huko kwanza. Sasa sijui itakuwaje mwisho, ngoja tuendelee kuangalia. Ila jamaa wamepiga hatua kubwa sana. Ingekuwa bongo hapo watu waumie tu tena mikaburu, loh.
...Ila jamaa wamepiga hatua kubwa sana. Ingekuwa bongo hapo watu waumie tu tena mikaburu, loh.
Larry King anaionyesha pia live. Mwanzoni ilikuwa inasemekana wangeokolewa November sasa wamesave mwezi mzima. Ni hali ya kutia moyo sana wote 33 kuweza kuwa hai hadi leo hii.
sure. Kwa mujibu wa rais wao, chile imepiga hatua sana kimaendeleo. Hata hali halisi inaonyesha