Chile miners' rescue underway!!!!

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Nacheki BBC live hapa home. Ni saa 6:15 usiku. Muda wowote mtu wa kwanza ataanza kutolewa humo machimboni
 
That's very cul, but vipi wameshakubaliana nani atakuwa wa mwisho coz kila mtu alikuwa anagoma.
 
Imefikiwa makubaliano wale walio fiti watakuwa wa kwanza kutolewa
 
Hivi kilitokea nini? Maana mimi sijui wanaookolewa wamekutana na kisanga gani? Ndo nimekumbana nayo tu online wakati nataka kuangalia news. Nipeni details wakuu.
 
Duh! Kazi ya uokoaji itagonga hadi saa 48 (2 days). Mashine itapanda 1m per sec. Hadi mmoja afike juu ni dk 15-20
 
Hivi kilitokea nini? Maana mimi sijui wanaookolewa wamekutana na kisanga gani? Ndo nimekumbana nayo tu online wakati nataka kuangalia news. Nipeni details wakuu.

nadhani kifusi kiliporomoka wakajikuta wamebaki chini 700m. Baada ya siku 10 ndio ikagundulika kuna watu walio hai chini
 
Duh, ndiyo wanasema kiliporomoka tangu August? Ina maana walikuwa wanapata huduma zote hukohuko? Mungu awarehemu watoke salama?
 
article-1319772-0B9345EA000005DC-925_638x502.jpg
 
Tena best service. Hapa bongo sijui ingekuwaje

umesahau wale zaidi ya 40 waliokufa baada ya tope kuingia kwenye machimbo. Tena wakaja kutolewa miili yao ikiwa imeharibika kabisa. Nchi yetu bwana kwa suala la uokoaji bado tuna safari ndefu ya kwenda.
 
Back
Top Bottom