Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
Ni jambo moja kwa Chenge kujiuzulu manake kumetoa fursa nyingine kwa serikali kujipanga upya, kwa maoni yangu anaefaa kumrithi ni Dr Maua Daftari, then Naibu wake awe ni mtaalam Mhe.DR. Wanyancha.
Hii itasababisha nafasi katika wizara ya Mifugo alipokuwa Mhe Wanyancha kama naibu Waziri, nafasi hii itamfaa sana Mbunge angalau wa ukanda wa Pwani ili kuchochea maendeleo katika sekta ya uvuvi sababu:
1. Waziri ni Magufuli toka Biharamulo
2. Katibu Mkuu ni mbara.
3. Mkurugenzi wa Uvuvi ni Mbara kutoka Manyara.
4. Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na Maji ni Mhe. Cheyo.
Hii ina maana uvuvi wa bahari hauna nafasi kabisa ya uwakilishi katika nafasi ya maamuzi [decision making corridors] hivyo inabidi apatikane ''Mswahili'' ambapo nadhani Mbunge wa Mafia atakuwa ni chaguo zuri.
Mhe. Rais ana chaguo zuri sana la kuweza kusaidia sekta ya Miundombinu na pia wizara nyingine.
natahadharisha tu..mbunge wa mafia angefaa tatizo ana kashfa ya kile cheti cha elimu ya form 4..ambayo ndiyo elimu kubwa anayodai kuwa nayo....nadhani kama ni ukanda wa bahari ni mkubwa mno na maziwa pia...kama uvuvi lingekuwa suala la muungano angetoka zanzibar....