DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,015
- 18,676
- Thread starter
- #61
❌️❌️🤣🤣🤣
❌️❌️🤣🤣🤣
Toa jibuSasa ntakuwa natoa Jibu au mnaniruhusu Nitoe Jibu?
We jamaa una utani 🤣🤣🤣❌️❌️🤣🤣🤣
628.Kwa kutumia Hints Zilizotolewa Pangilia Code (Paswords) sahihi huku zikiwa katika Mtiriko Sahihi..
Hints chini zitakuwezesha kujua Numeric Lock hapa chini inapangiliwaje na Ina namba gan?
View attachment 2953838
Hapa umepataje jibu
jibu ni 862 to be exact.Kwa kutumia Hints Zilizotolewa Pangilia Code (Paswords) sahihi huku zikiwa katika Mtiriko Sahihi..
Hints chini zitakuwezesha kujua Numeric Lock hapa chini inapangiliwaje na Ina namba gan?
View attachment 2953838
Nimeangalia correct ya kwanza ni sitaHapa umepataje jibu
Sita ya pili inakujaje hapoNimeangalia correct ya kwanza ni sita
Nimejifanya sijaiona kabisa🥴Sita ya pili inakujaje hapo
Wacha tucheke tuNimejifanya sijaiona kabisa🥴
🤣🤣🤣Wacha tucheke tu
Hapana hili lingekuwa jibu basi Hint Namba 3 ingesema "all numbers are correct but wrongly placed", lakini inasema "two numbers are correct but wrongly placed", au ndio walihofia wangetaja jibu 😀😀Jibu ni 062. Leta chemsha bongo nyingine!
Not even close 🤣🤣jibu ni 862 to be exact.
Hahaaa wengi mmekosa nitatoaToa jibu
Aaah mtibeli Chagua Moja kati ya hizo mbili naona kama unaelekea elekea 🤣🤣