lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,806
- 22,257
Mkuu nahisi wewe una umri wa kutosha kujibu hoja kwa hoja.Kwahiyo mechi ya jana tumeshinda bila coaching ability? Yaan unataka kumaanisha hawa wachezaji ambao sio average(kwa mujibu wako) ndio wamepelekea tumepata ushindi bila kuwa na effort ya kocha.
Mada yangu ni uwezo wa wachezaji sio kocha
Tulichotaka Poche afanye tangu aanze ndicho alichofanya game na Vila na hii ya Spurs
Tweak ya Cucurella kucheza midfield akiwa LB imeiboost sana viungo kwenye ukabaji.
Pivot ya Caicedo na Gallagher imelazimishwa na injury japo alitakiwa siku nyingi kumtumia Gallagher deep
Mf na defence imebalance kwa sababu ya hiyo tweak. Ilikuwa ni kazi rahisi tu ila kocha wako Poche ni sturbon na mwoga. Mfahidhina yule imemgharimu sana
Tangu mwanzo tuliwaambia hawa wachezaji wazuri ninyi mkakazia ni average players. Wanacheza tofauþi nà maaelekezo ya kocga.
Too bad kwa sababu angefanya hivi tungekuwa sasa tupo top 4 na sio vila timu za kuunga unga