Cheap android phones unazoweza kununua

Cheap Android Smartphone?

Tecno smartphone ndiyo jibu... Kuna za kila bei zinazoendana na kukidhi mahitaji yako.

Wachana na kubishana na World Class Brand sijui Samsung, Motorola, LG, Sony na n.k hizi zinauzwa kwa kuzingatia Soko la Kidunia zaidi wakati Tecno ni Soko la watu wa hali ya chini na kusema ukweli linakidhi mahitaji ya watu hao ambao wengi wao wapo barani Afrika na Asia.

Nawasilisha.
 
mkuu unafikiri kwanini Tecno amekimbilia huku kwetu? sababu hawezi compete kidunia na huku ni rahisi sababu hizo kampuni hazileti simu huku.

samsung ni kampuni ambayo kidunia ni maarufu kuuza simu bei ghali sana za low end, lakini cha ajabu Tanzania Tecno anauza bei ghali simu zake kuliko samsung.

mfano angalia samsung grand prime + ni moja ya simu isiovutia ya samsung inayotumia mediatek, inapatikana chini ya 250,000 sasa hivi, cha ajabu hakuna simu hata moja toka tecno inayoipita hio samsung kwenye hio budget kushuka, sasa kama Tecno anashindwa kuipita samsung anaeuza simu bei ghali anaweza shindana na kampuni yoyote inayouza simu za bei rahisi?

chukulia mfano kampuni kama xiaomi simu kama redmi 4 version ya snapdragon 625 inauzwa dola 133 tu, na ina specification kali kushinda Tecno phantom 6 inayouzwa laki 6, huu ndio uhalisia mkuu, simu ya Tecno ya laki 4 kwa makampuni mengine inauzwa laki 2 na simu ya laki 6 utaipata laki 3. ila sababu tushaamini tecno ni za bei rahisi tutaendelea tu kuamini.
 
Nimekuelewa Chief-Mkwawa lakini angalia uhitaji wa bidhaa na soko linaendaje?,

Mifano uliyonitolea inashawishi lakini si sana kwa sababu ya kutokuwepo kwa uhalisia wa upatikanaji wa uhakika wa hizo simu kama redmi, Oppo, Xiami na n.k ndiyo sababu Tecno wakaamua kukaza kibishara zaidi.

Tuache uchaguzi kwa 'mpenzi msomaji' aweze kuamua mwenyewe.
 
kwa kampuni kama xiaomi model yao ya biashara ni kuuza online tu, nchi zote kama kenya, Nigeria, India, China ambazo wapo wao wanauza tu online, huwezi kuta duka lao mtaani. hivyo hadi nchi yetu iwe na site kama jumia na kupatana ambazo zimekomaa pengine ndio utaziona.
 
mkuu kuna moto g5 na moto g5 plus ni simu mbili tofauti, moto g5 ina snapdragon 430 ambayo ni ya kawaida tu wakati moto g5 plus yenyewe ina snapdragon 625 ambayo ndio soc nzuri kwa sasa kwenye efficiency na utunzaji chaji. sijui wewe umeangalia ipi.

kuhusu j7 epuka hio inayoishiwa na H yaani j700H au 710H hizo hazina 4G zinatumia tu 3G.

na hio j7 inayoishiwa na M pia sio yetu ina band za marekani,

J7 inayoishiwa na F ndio nzuri zaidi sababu ina 4G na band zake za 4G ndio zinatumika sana huku kwetu yaaani band 800 na 1800.
Asante sana kwa maelezo mazuri.
 
Back
Top Bottom