Cheap android phones unazoweza kununua

hii post tam sana. asante chief-mkwawa kwa kuanzisha na wachangiaji wote.

tatzo bongo ni bei...
 
Last edited by a moderator:
ya kwako ni symbian os bora ambayo nokia ameitupa so imebaki yatima

Mkuu wakuvuma sijawahi kutumia hiyo nokia, ila nadhani chief-mkwawa huenda atakuwa yupo sahihi. Mie nilikuwa naelezea dhana ya proprietary na open source.

Android os sio completely au 100% open, kuna baadhi ya features zimefichwa. Na ndio maana ili mtu awe na full access au control kama root admin watu wanafanya kitu kinachoitwa rooting.

Proprietary software zimebaki kuwa secret, architectures za os zake, wanaojua ni developers, only real hackers wanaweza kuwahack na kupata hata source codes za os zao na kuzifanyia modification. Huo uasi (hacking) ndio unaofanya kuwepo na os mbalimbali na competition, hence advancement in tech industry.
 
... vipi iphone 5 Inayorun (ios) ... na samsung galaxy s3 ( android os) ipi kali... yeap ubishi upo mwingi mitandaoni kwa kifupi zote nilishaziona...but mate yalinidondoka nilipoona na kucheck function za samsung galaxy.. hope hap kuna ma Users... wa hizi device hau watalaamu wamamboo... which iz da best??
 
Yeah kwa bei hiyo siyo mbaya ila RAM ndogo usitegemee performance sana.
 
Nipeni tofauti ya Tablet na Ipad?Tablet naweza ita Ipad? I need help plz

Ipad ni tablet na sio tablet ni ipad.

Kama unavosema simu ndio tablet.

Tablet ni aina ya gadget ambayo imetengenezwa kufanya kazi baadhi za simu na baadhi za laptop. Mara nyingi inakua touch screen na inakua na kioo nchi 7 hadi 10

Ipad ni aina ya tablet inayotengenezwa na apple ambayo inarun ios. Kwa sababu hawa ni wa kwanza kuingia kwenye game ndio maana umeona jina ipad ni maarufu kuliko jina tablet
 
Ipad ni tablet na sio tablet ni ipad.

Kama unavosema simu ndio tablet.

Tablet ni aina ya gadget ambayo imetengenezwa kufanya kazi baadhi za simu na baadhi za laptop. Mara nyingi inakua touch screen na inakua na kioo nchi 7 hadi 10

Ipad ni aina ya tablet inayotengenezwa na apple ambayo inarun ios. Kwa sababu hawa ni wa kwanza kuingia kwenye game ndio maana umeona jina ipad ni maarufu kuliko jina tablet

Umenichanganya kidogo,mimi natumia Galaxy Tablet,nikiita Ipad nakosea? Sorry uelewa wangu mdogo
 
Nw,natumia samsung galaxy pocket 3gb internal memory,2mp camera,280mb ram na 832MHz processor Os2.3 floyo kwa 180,000 dukani
 
Tatizo wafanya biashara ndio walanguzi! Kwenye list mi naongeza hizi mbili ambazo najua zipo kwenye soko mtaani

Star V12
Specs: android 4.0.3 icecream sandwich, processor dualcore 1Ghz mtk6575, 512mb ram, 4Gb rom, hdmi, 8mp cam with flash, 0.3mp secondary cam, 4.3" display, 2x2000mAh battery at 280000/= to 300000/=

Xtouch x401
Same specs kama v12 ila haina hdmi, na camera ni 5mp na battery ni 2x2100mAh at 320000/=


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
chief naomba unisaidie kuhusu tecno f7 na tecno n7 nataka kuchukua hiyo mizigo,
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom