Charminglady ameanza kukolea kwa wakati ndio sasa.......

mamangu measkron yan hawa watu wananisumbua si uwambie mie siwataki. . . nshaamua kuwa single for life kha!
 
Last edited by a moderator:
mamangu measkron yan hawa watu wananisumbua si uwambie mie siwataki. . . nshaamua kuwa single for life kha mbna hawanielewi??????
 
Last edited by a moderator:
My love charminglady angalia sana maneno yako,hivi leo hii nalegea kweli nyeti au nakua na busha,unazania utafurahia nini raha ya ndoa?,kumbuka maneno yote haya yapo kwenye kumbukumbu,...angalia utaumbuka?lakni kwakua ninamapenzi ya dhati kwako ngoja nisemetu kuwa MANENO MAKALI TOKA KWAKO HAYATAZUIA UPENDO KWAKO,NDIO YANA FANYA MIZIZI YA MAPENZI IZIDI KUSTAWI,nakupenda sana kipenzi changu
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuh! Unatia huruma sana!

mkuu wakati ndio sasa nimependa vile ambavyo unapambana na makombola huku ukiwa una songa mbele,big up sana naomba ukaze buti kwa kua unavyozidi kusonga mbele naona mashambulizi zidi ya upande wa pili yanazidi kuwa makali buta usihofu freedom is coming tomorrow,lazima utafanikiwa kwakua mateso yakizidi ujue wokovu umekaribia
 
Last edited by a moderator:
Hee!
Mna maana huyu binti hajanasika tunduni tu ?
Yaani tangu jana! Majanki mbona mnatuabisha kaka zenu khaaa!
Mavijanaa wa sasa mmekuaje?
Particulary wewe TIMES IS NOW !
Hembu kazia hukumu hii makitu!
Utaniuzi ujue?
 
ha,ha,kaka siunajua kosa ulilifanya wewe kutonifundisha mbinu za kufauli mtihani matokeo yake unasubir nifeli unanilaumu nilikua sisomi.lakini sichoki ntapigana vita hii hata mwika nenda rud,alafu ujue shemeji naye anachangia kuniangusha
 
mkuu wakati ndio sasa nimependa vile ambavyo unapambana na makombola huku ukiwa una songa mbele,big up sana naomba ukaze buti kwa kua unavyozidi kusonga mbele naona mashambulizi zidi ya upande wa pili yanazidi kuwa makali buta usihofu freedom is coming tomorrow,lazima utafanikiwa kwakua mateso yakizidi ujue wokovu umekaribia

thanks mkuu kwa kunipa moyo
 
Last edited by a moderator:
good! moto hauzimwi kwa petrol,your very technical man ukifanikiwa wala sita shangaa kwakua mbinu zako zote ni za ushindi.
please charminglady you must think twice in this

yaani we achaga tu mwanawane,siunajuaga mtaka cha uvunguni lazima ainame,mi ntainama mpaka kieleweke
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom