Charminglady ameanza kukolea kwa wakati ndio sasa.......

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,634
4,519
Hizi ni habari nilizozishuhudia jana usiku wa manane wakati watu wote wamelala charminglady alikuwaa bado anasoma kwa makini mistari ya wakati ndio sasa na ilinichukua muda kuamini kama zile hasira zote alizokuwa nazo kwa kijana wetu zimeanza kuyayuka.Kwa mlio karibu naye hasa beibe nasty naomba mje mtuthibitishie....na natanguliza hongera kwa kijana kwa moyo wa uvumulivu alioonyesha mpaka kufikia hatua hii muhimu....
 
Last edited by a moderator:
mkuu majesho yako uwanja wa mapambano,we tayari unatangaza ushindi,dah sipatii picha wale wanga wanao niwangia watajibeba
njoo mpenzi charminglady nikutuo shombo la kutendwa ni kumwagia lotion ya mapenzi,njoo kwenye kisima cha malavidavi kwangu ndio kwako toka enzi,usipagawishwe na vikalagosi wa mapenzi,fungua pipi ule ni yako yote usibakize najua umechoka na feka mapenzi,mwaaaaa
 
Akaa ni sawa kupiga mkuki ngozi duh unamoyo wa chuma maana unajipa majibu mwenyewe heheheeheh we kiboko chapa simba hehheeh cl hebu njoo usikie huku yanenwayo kweli masantura
 
Unaomba msaada wa chakula somalia unataka nin?
 
Last edited by a moderator:
mkuu majesho yako uwanja wa mapambano,we tayari unatangaza ushindi,dah sipatii picha wale wanga wanao niwangia watajibeba
njoo mpenzi charminglady nikutuo shombo la kutendwa ni kumwagia lotion ya mapenzi,njoo kwenye kisima cha malavidavi kwangu ndio kwako toka enzi,usipagawishwe na vikalagosi wa mapenzi,fungua pipi ule ni yako yote usibakize najua umechoka na feka mapenzi,mwaaaaa

Nina uhakika na nilichokishuhudia,kinachofuata ITV ni kujipanga katika kuhakikisha hakuchomoki,waliosema wamesema mwisho wamechoka na karibuni nitaanza kutumia yale maneno niliyokuwa nikiyarizvu fo fyucha yuzi..
 
Hata wewe hajakuambia..!! Nilijuwa taarifa utakuwa nazo,hili ndio tatizo sasa mkishaanza kupenda huwa mna aibu sana,mwambie charminglady ajitokeze basi asione aibu kihivyo, kumkubali mtu ni jambo la kawaida katika maisha wala sio kosa la jinai....

Wewe huyo black cat tena mtakatifu heeeee unashughuli unajua haya ngoja cl aje
 
Last edited by a moderator:
Akaa ni sawa kupiga mkuki ngozi duh unamoyo wa chuma maana unajipa majibu mwenyewe heheheeheh we kiboko chapa simba hehheeh cl hebu njoo usikie huku yanenwayo kweli masantura

Ukiniona nimenyamaza ujue nimekubali.....wera wera.... mimi nishaanza sherehe huku karibuni tusherehekee ushindi wa wakati ndio sasa
Pillau-Rice.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom