Charminglady ameanza kukolea kwa wakati ndio sasa.......

Naamini utafanikiwa kwani hadi sasa ujavunja sheria unaenda kwa utaratibu unaotakiwa.

Umenifurahisha sana your calm.
Nahii ina kuongezea credit, dont Give-up
kupenda kubaya mkuu,i wish ungeniona yaan ninajieleza huku nimepiga magoti
 
Wewe charminglady muajiri muttashobolwa kama lawyer wako akusaidie kwenye hii kesi. Refer ile yangu na mdarling wangu mtarajiwa mamndenyi jamaa kajitahidi mno kidogo ningelia mtoto wa kiume mie. Na ule mpango wako wa kuondoka jf uufute.
 
Hizi ni habari nilizozishuhudia jana usiku wa manane wakati watu wote wamelala charminglady alikuwaa bado anasoma kwa makini mistari ya wakati ndio sasa na ilinichukua muda kuamini kama zile hasira zote alizokuwa nazo kwa kijana wetu zimeanza kuyayuka.Kwa mlio karibu naye hasa beibe nasty naomba mje mtuthibitishie....na natanguliza hongera kwa kijana kwa moyo wa uvumulivu alioonyesha mpaka kufikia hatua hii muhimu....

Mkuu St. Paka Mweusi, angalia sasa, dada wa watu (Charming Lady) amekimbia sasa JF! Wewe na Mkuu 'Wakati ndio sasa' mmesababisha akimbie. Punguzeni utani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu St. Paka Mweusi, angalia sasa, dada wa watu (Charming Lady) amekimbia sasa JF! Wewe na Mkuu 'Wakati ndio sasa' mmesababisha akimbie. Punguzeni utani.

Pamoja mkuu, mtoto keshani PM Id yake mpya atakayokuwa akiitumia,usihofu haondoki anabadilisha Id tu...
 
Back
Top Bottom