Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,204
- 10,949
Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume.
Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia kuongeza nguvu za kiume lakini bado tu tatizo lipo.
Mabarabarani nako utakutana na wasichana wauzaji vyakula vya asili wakisema vinarudisha hizo nguvu lakini bado tu tatizo linaendelea kusumbua.
Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi.
Kwa shani yake Mwenyezi Mungu kawaumba wanawake katika maumbile mazuri sana na kuvifanya viungo vyao vivutie jicho la mtazamaji. Hakumalizia hapo akawataka viumbe wake wavae nguo ili kuvifuniko viungo hivyo ili visionekane kwa wasio waume zao.
Hata wakiwa kwa waume zao huko ndani pia wanatakiwa wasijiachie moja kwa moja.Wavae mavazi mepesi kama kwamba wanawaonea haya waume zao hao.
Athari ya wanawake kuonesha mapambo ya viungo vyao huko nje ni kuwa wanaume hata wasiopenda kuwaangalia huwa wanawaona na kugandisha sura zao akilini mwao.
Wanapofika ndani badala ya kukazia kuawaangalia wake zao akili huwa zinawarudisha kule barabarani. Kwa kila uzuri alionao mke wako lazima kutakuwa na wengine uliowaona wakiwa nusu uchi wakiwa wazuri kuliko wa kwako.
Mwisho wa yote matamanio yanagawnyika baina ya pale chumbani na kule barabarani.