Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,654
....Aaah duh,jamaa atakuwa alipitia mafunzo ya mgambo manake alipotea kama komando kipensi?
We Gamba Chafu Yaani umenikumbusha Hiyo Movie niliitizama mwaka 1989 Nilikuwa Dogo
....Aaah duh,jamaa atakuwa alipitia mafunzo ya mgambo manake alipotea kama komando kipensi?
Mtabisha nini mkiambiwa policcm ndiyo waliotaka kumuua Ulimboka na bado wanaendeleza mkakati wao? Hivi mmeshajiuliza wametumwa na nani? mnadhani wanafanya tu? naona the Hague ikinukia! muda si mrefu, shetani anazidi kuwafumba mamcho waue zaidi ili hukumu iwe kubwa zaidi
Hakuna haja ya kuongelea suala la Ulimboka,msaliti wa watanzania kwa kutosema kweli.
Ana mbio zaidi ya risasi? Mazafanta attention seeker.
Is Tanzania a police state?
Kipindi cha Hamza Kasongo, mwandishi wa Iringa na makamu wa IPC na mmiliki wa blogu ya francisgodwin ametoa ushahidi kuwa alikuwa akijaribu kupiga picha baada ya mwangosi kuuawa, polisi wakamnyooshea bunduki akakimbia akapotelea porini msituni. Aliporudi akachukuliwa na dereva wake, akawa anafuatwa na magari mawili kila anapoenda, mwishowe akaingia uchochoro fulani akawapiga chenga alafu akapiga cm redioni kuwajulisha kuwa yuko mochuari ili kuwapoteza polisi ndo pona yake, huenda na yeye angekuwa marehemu update: anasema alitokea msitu wa sao hill, dereva wake akamwambia wanakutafuta. Salama yako ondoa label zilizobandikwa kwenye ubavu wa gari ili wasijue kama gari la mwandishi wa habari, wakaondoka ndo wakaanza kufukuziwa. Wakiongeza mwendo jamaa wanaongeza, wakipunguza nao wanapunguza, wakiingia sehemu nao wanaingia. Bila shaka kuna jambo hapo wadau
Mungu ampe maisha marefu maana wangefanikiwa kumkamata lazima naye wangemmaliza. Sasa hawa wauaji wa magamba waje na uongo mwingine kwamba hao waliokuwa wanamfukuza ni wafuasi wa CDM na sio polisi magamba wauaji.
Huyu jamaa ni mtetezi sana wa ccm siku zote.Ukipitia blog yake anatetea sana ccm na kukandamiza vyama vya upinzani ,mwache aonje nini maana ya kuwa na magamba.Mkuu ameongea kwa kifupi ila inaonekana hawakufanikiwa kumpora camera, jamaa anaongea kwa uchungu sana. Anyway kipindi kimeisha
Samahanini ma greatthinker kwa kusema haya lkn ndio ukweli huu.
M4C inamanisha ina lengo la kubadilisha utawala si ndio? nahic jibu ni ndio..sasa kama ni hivyo maafa ndio gharama yake so kama kweli nia ni kwenda ikulu basi wahusika muwe tayari kwa hayo maana hakuna atakayeachia madaraka kirahic...kama M4C hawezi kujitoa kwa haya yanayotokea basi bora iache mara moja na kukubali tutawaliwe vyovyote tunavyokwenda.
Ila wote M4C na watawala tukumbuke hapa ni duniani kuna maisha kwa mungu tunayemuamini lbd kama ninyi hammuamini mungu-ni hayo tusipige porojo sn.
kweli polisi hawana akili, alisema yupo mochwari nao wakaamini kwamba mtu akiwa mochwari anapiga simu!?. hahahaaaa.....!!!. mia
Samahanini ma greatthinker kwa kusema haya lkn ndio ukweli huu.
M4C inamanisha ina lengo la kubadilisha utawala si ndio? nahic jibu ni ndio..sasa kama ni hivyo maafa ndio gharama yake so kama kweli nia ni kwenda ikulu basi wahusika muwe tayari kwa hayo maana hakuna atakayeachia madaraka kirahic...kama M4C hawezi kujitoa kwa haya yanayotokea basi bora iache mara moja na kukubali tutawaliwe vyovyote tunavyokwenda.
Ila wote M4C na watawala tukumbuke hapa ni duniani kuna maisha kwa mungu tunayemuamini lbd kama ninyi hammuamini mungu-ni hayo tusipige porojo sn.
hata wafanyeje ipo siku Mungu atainuka na kuonyesha uharamia na uhuni wote wanaofanya haufichiki mbele yake