Channel 10: Francis Godwin ateta, nusura auawe

hata wafanyeje ipo siku Mungu atainuka na kuonyesha uharamia na uhuni wote wanaofanya haufichiki mbele yake

Eti mpaka mungu ainuke kwani umeambiwa mungu kalala Ebo! Wewe Wacha kujisaidia usubirie mungu aje akusaidie utasubiria for century Chukua hatua hapo hapo ulipo now.
 
Huyu jamaa anatafutwa muda mrefu sana, kuna mkuu mmoja wa wilaya aliwai kumchimba mkwara live.
 
MUNGU kaamua kuwaanika watawala waliolazimisha ushindi.MUNGU hawahi wala hachelewi lakin anatekeleza kwa wakati muafaka na ndio umefika.
 
Kipindi cha Hamza Kasongo, mwandishi wa Iringa na makamu wa IPC na mmiliki wa blogu ya francisgodwin ametoa ushahidi kuwa alikuwa akijaribu kupiga picha baada ya mwangosi kuuawa, polisi wakamnyooshea bunduki akakimbia akapotelea porini msituni. Aliporudi akachukuliwa na dereva wake, akawa anafuatwa na magari mawili kila anapoenda, mwishowe akaingia uchochoro fulani akawapiga chenga alafu akapiga cm redioni kuwajulisha kuwa yuko mochuari ili kuwapoteza polisi ndo pona yake, huenda na yeye angekuwa marehemu update: anasema alitokea msitu wa sao hill, dereva wake akamwambia wanakutafuta. Salama yako ondoa label zilizobandikwa kwenye ubavu wa gari ili wasijue kama gari la mwandishi wa habari, wakaondoka ndo wakaanza kufukuziwa. Wakiongeza mwendo jamaa wanaongeza, wakipunguza nao wanapunguza, wakiingia sehemu nao wanaingia. Bila shaka kuna jambo hapo wadau

Ombwe la Uongozi Tanzania, matokeo yake ni mengi...hatuna JESHI LA POLISI, bali tuna kundi la Siasa lilivaa magwanda ya kipolisi likitekeleza dira na malengo ya kundi mama -CCM! Kama polisi na CCM wanawaandama hadi waandishi wa habari, mpaka msituni?? kweli CCM inakufa punde, na JESHI LA POLISI kufutwa lanzishwe upya! Ni jambo la muda tu tusubirie.
 
Naona jinsi event inavyonibadilisha akili, sasa hivi ni kuuaua tu. Boko haram, alshabab walianzaga hivihivi kule kigoma silaha njenje sasa hizi chuki zinazopandikizwa na polisi zinaleta event nyingine
 
Naona jinsi event inavyonibadilisha akili, sasa hivi ni kuuaua tu. Boko haram, alshabab walianzaga hivihivi kule kigoma silaha njenje sasa hizi chuki zinazopandikizwa na polisi zinaleta event nyingine. CCM lazima walete vita
 
Inatisha inauma inasikitisha,kweli nimeamini tuna bora viongozi,halafu jitu moja linaitwa shigela wa vijana ccm linajiona limefika eti kwenye tv anathubutu kusema hao viongozi wa m4c bora wajiuzuru hana hata aya nadhani ningekuwa nae karibu labda ningemuwash bao adondokee mbali,wanafanya hivyo ili wapate cha kuongea wajinga hawa
 
Kweli alitumia u-Comandoo maana picha zake ndio zimeushtua Ulimwengu na hivi POLISI imeanikwa namshauri ajichunge na akae mbali nao kwani hawawezi tena kumlinda ila kumuwinda BOFYA PICHA ZA GODWIN kama wangemkamata ushahidi wa mauaji usingeonekana asilani Hongera Bw Fransic Godwin
 
Ukishakua unajua uhalifu walioufanya unafikiri kinachofuatia ni nini?
 
Kipindi cha Hamza Kasongo, mwandishi wa Iringa na makamu wa IPC na mmiliki wa blogu ya francisgodwin ametoa ushahidi kuwa alikuwa akijaribu kupiga picha baada ya mwangosi kuuawa, polisi wakamnyooshea bunduki akakimbia akapotelea porini msituni. Aliporudi akachukuliwa na dereva wake, akawa anafuatwa na magari mawili kila anapoenda, mwishowe akaingia uchochoro fulani akawapiga chenga alafu akapiga cm redioni kuwajulisha kuwa yuko mochuari ili kuwapoteza polisi ndo pona yake, huenda na yeye angekuwa marehemu update: anasema alitokea msitu wa sao hill, dereva wake akamwambia wanakutafuta. Salama yako ondoa label zilizobandikwa kwenye ubavu wa gari ili wasijue kama gari la mwandishi wa habari, wakaondoka ndo wakaanza kufukuziwa. Wakiongeza mwendo jamaa wanaongeza, wakipunguza nao wanapunguza, wakiingia sehemu nao wanaingia. Bila shaka kuna jambo hapo wadau

nadhani sasa ni wakati kwa waandishi wa habari kusimama kidete na kutoa kila kitkeacho bila kificho tuone kama watayafungia vyombo vyote vya habari kama ilivyokuwa kwa mwanahalisi.
 
kweli polisi hawana akili, alisema yupo mochwari nao wakaamini kwamba mtu akiwa mochwari anapiga simu!?. hahahaaaa.....!!!. mia

Hivi mkuu hujui kuwa polisi ni kuta 28 na form four failures. Wale walobahatika kufaulu kwa kudesa ndo wanapewa mikoa.
Hata akisema nipo mbinguni au kuzimu wataamini tu!
 
Ama kweli Tanzania ya sasa ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni
 
Mtabisha nini mkiambiwa policcm ndiyo waliotaka kumuua Ulimboka na bado wanaendeleza mkakati wao? Hivi mmeshajiuliza wametumwa na nani? mnadhani wanafanya tu? naona the Hague ikinukia! muda si mrefu, shetani anazidi kuwafumba mamcho waue zaidi ili hukumu iwe kubwa zaidi

tunasubiri majibu ya tume!
utasikia ulimboka alitekwa na majambazi, Mwangosi alipigwa na kitu kizito!
 
Huyo nae yuko kwenye list ya kushughulikiwa na waziri wa mambo ya ndani na rpc michael kamuhanda ambaye aliua watu 4 songea kwa risasi za moto sasa amehamishiwa iringa kaua kwa bomu mara ya tatu akipiga tena atatumia dege la kivita kuzuia watu wasifungue matawi ya chama.
 
hivi mtindo wa kuchukua failure wa form four ndo kuwapeleka kujiunga na majeshi yetu utaisha lini?wakati umefika wa kuchukua waliofaulu vizuri kujiunga kwenye majeshi yetu maana matokeo ya kuchukua vilaza na wavuta bangi madarasani tunayaona sasa.
 
tunasubiri majibu ya tume!
utasikia ulimboka alitekwa na majambazi, Mwangosi alipigwa na kitu kizito!
yani mkuu unajuwa kabisa
Kuwa majibu yatakuwa hayo halafu bado unathubutu kusema tusubiri?daah!no words,sitaki nikukwaze.
 
Back
Top Bottom