Channel 10: Francis Godwin ateta, nusura auawe

Mtabisha nini mkiambiwa policcm ndiyo waliotaka kumuua Ulimboka na bado wanaendeleza mkakati wao? Hivi mmeshajiuliza wametumwa na nani? mnadhani wanafanya tu? naona the Hague ikinukia! muda si mrefu, shetani anazidi kuwafumba mamcho waue zaidi ili hukumu iwe kubwa zaidi

Hakuna haja ya kuongelea suala la Ulimboka,msaliti wa watanzania kwa kutosema kweli.
 
"Nimempga shetani chenga ya mwili,kuisalimisha roho yangu,kuisalimisha roho" hivi ndivyo alivyofanya jamaa.
 
Ana mbio zaidi ya risasi? Mazafanta attention seeker.

Nape anasubiri ripoti ya polisi ili atoe tamko la ccm kuunga mkono mauaji ya mwandishi wa habari au la Lol!! Chama cha ccm kinabariki mauaji ya raia wasio na siraha kwa mgongo wa polisiccm.
 
Now naelewa kwanini kuna wanaojitoa muhanga
I think I can ila kama kutakua na uhakika wa kuondoka na mlengwa....
 
Mungu ampe maisha marefu maana wangefanikiwa kumkamata lazima naye wangemmaliza. Sasa hawa wauaji wa magamba waje na uongo mwingine kwamba hao waliokuwa wanamfukuza ni wafuasi wa CDM na sio polisi magamba wauaji.
 
Kipindi cha Hamza Kasongo, mwandishi wa Iringa na makamu wa IPC na mmiliki wa blogu ya francisgodwin ametoa ushahidi kuwa alikuwa akijaribu kupiga picha baada ya mwangosi kuuawa, polisi wakamnyooshea bunduki akakimbia akapotelea porini msituni. Aliporudi akachukuliwa na dereva wake, akawa anafuatwa na magari mawili kila anapoenda, mwishowe akaingia uchochoro fulani akawapiga chenga alafu akapiga cm redioni kuwajulisha kuwa yuko mochuari ili kuwapoteza polisi ndo pona yake, huenda na yeye angekuwa marehemu update: anasema alitokea msitu wa sao hill, dereva wake akamwambia wanakutafuta. Salama yako ondoa label zilizobandikwa kwenye ubavu wa gari ili wasijue kama gari la mwandishi wa habari, wakaondoka ndo wakaanza kufukuziwa. Wakiongeza mwendo jamaa wanaongeza, wakipunguza nao wanapunguza, wakiingia sehemu nao wanaingia. Bila shaka kuna jambo hapo wadau

hizi mambo zinaanza kureflect zile story za mtambuzi kule MMU jinsi watu wanavyouawa daah tz tulipofikia amsha amsha tia maji..

RIP DM
 
Waje na uongo mara ngapi? Taarifa za awali ni kuwa 'flying object' ndo ilim-hit wakati ameenda ku-seek refuge kwa polisi! So uchunguzi ni kuwa hicho kilichomsambaratisha kilitokea wapi?
Bongo zaidi ya uijuavyo! Yana mwisho haya, alijisemeaga Chonya wa Chilonwa!
Mungu ampe maisha marefu maana wangefanikiwa kumkamata lazima naye wangemmaliza. Sasa hawa wauaji wa magamba waje na uongo mwingine kwamba hao waliokuwa wanamfukuza ni wafuasi wa CDM na sio polisi magamba wauaji.
 
Mkuu ameongea kwa kifupi ila inaonekana hawakufanikiwa kumpora camera, jamaa anaongea kwa uchungu sana. Anyway kipindi kimeisha
Huyu jamaa ni mtetezi sana wa ccm siku zote.Ukipitia blog yake anatetea sana ccm na kukandamiza vyama vya upinzani ,mwache aonje nini maana ya kuwa na magamba.
 
hata wafanyeje ipo siku Mungu atainuka na kuonyesha uharamia na uhuni wote wanaofanya haufichiki mbele yake
 
Samahanini ma greatthinker kwa kusema haya lkn ndio ukweli huu.

M4C inamanisha ina lengo la kubadilisha utawala si ndio? nahic jibu ni ndio..sasa kama ni hivyo maafa ndio gharama yake so kama kweli nia ni kwenda ikulu basi wahusika muwe tayari kwa hayo maana hakuna atakayeachia madaraka kirahic...kama M4C hawezi kujitoa kwa haya yanayotokea basi bora iache mara moja na kukubali tutawaliwe vyovyote tunavyokwenda.

Ila wote M4C na watawala tukumbuke hapa ni duniani kuna maisha kwa mungu tunayemuamini lbd kama ninyi hammuamini mungu-ni hayo tusipige porojo sn.

ni kweli porojo na lalamiko ziachwe, tukumbuke 3p for politician, yaani pistol, prison and prensidency kwa ivyo hilo ni kawaida, kujipanga tu.
 
Serikali sikilvu. Huwa najiulizaka huu msemo ndio kauli mbiu ya kuficha uovu au?
 
Mie nina imani sana na Waandishi wa Habari katika umahiri wao wa kukusanya vithibitisho,kwa tukio kama hili la kufukuziwa na magari mawili ya Polisi tena ukizingatia hawakua kwenye good term na Polisi kwa wakati huo bila shaka Muandishi huyu aliweza kupata namba za gari hizo ni wakati sasa wa kuzianika ili tuzidi kukusanya ukweli wa jambo hili.

Pili Muandishi anaposema kuwa alipiga simu Redioni ili kuwapoteza POLISI hivyo inaonekana kuna mawasiliano ya moja kwa moja baina ya Redio husika na Polisi hao?
 
Hilo ndio la msingi na sekondary! Hata Mimi nashangaa M4C badala ya action wao wanaendekeza porojo na propa Ganda za ccm nahisi ntavichukia vyama vyote! ****....

Samahanini ma greatthinker kwa kusema haya lkn ndio ukweli huu.

M4C inamanisha ina lengo la kubadilisha utawala si ndio? nahic jibu ni ndio..sasa kama ni hivyo maafa ndio gharama yake so kama kweli nia ni kwenda ikulu basi wahusika muwe tayari kwa hayo maana hakuna atakayeachia madaraka kirahic...kama M4C hawezi kujitoa kwa haya yanayotokea basi bora iache mara moja na kukubali tutawaliwe vyovyote tunavyokwenda.

Ila wote M4C na watawala tukumbuke hapa ni duniani kuna maisha kwa mungu tunayemuamini lbd kama ninyi hammuamini mungu-ni hayo tusipige porojo sn.
 
hata wafanyeje ipo siku Mungu atainuka na kuonyesha uharamia na uhuni wote wanaofanya haufichiki mbele yake

Eti mpaka mungu ainuke kwani umeambiwa mungu kalala Ebo! Wewe Wacha kujisaidia usubirie mungu aje akusaidie utasubiria for century Chukua hatua hapo hapo ulipo now.
 
Back
Top Bottom