Eti jamami mtu unaweza kuwa umechanganyikiwa
Lakini huhisi au huoni kama umechanganyikiwa??
Kila anayekuzunguka ndugu,jamaa na marafiki wanakwambia your not normal..
lakini we unahisi uko fresh tu...
napinga hili kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaechanganyikiwa hua hajijui always ila kuchanganyikiwa kukiisha ndipo anapojijua baada ya kujua au kuona aliyoyafanya kipindi alipochanganyikiwa
Una elekea unaelewanapinga hili kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hujijua mwanzoni ila with time hushindwa kutambua kama wanachanganyikiwa
napinga hili kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hujijua mwanzoni ila with time hushindwa kutambua kama wanachanganyikiwa
Eti jamami mtu unaweza kuwa umechanganyikiwa
Lakini huhisi au huoni kama umechanganyikiwa??
Kila anayekuzunguka ndugu,jamaa na marafiki wanakwambia your not normal..
lakini we unahisi uko fresh tu...
Eti jamami mtu unaweza kuwa umechanganyikiwa
Lakini huhisi au huoni kama umechanganyikiwa??
Kila anayekuzunguka ndugu,jamaa na marafiki wanakwambia your not normal..
lakini we unahisi uko fresh tu...
Eti jamami mtu unaweza kuwa umechanganyikiwa
Lakini huhisi au huoni kama umechanganyikiwa??
Kila anayekuzunguka ndugu,jamaa na marafiki wanakwambia your not normal..
lakini we unahisi uko fresh tu...
kweli kwasababu mtu aliechanganyikiwa huwa anaona anachokifanya ni sahihi kwake na watu wa nje ndio huwa wanaoona kwamba sio sahihi kwa hiyo wanaanza kumwambia kwamba wewe umechanganyikiwa na yeye atakataa wewe angalia wanaume wengi wanaofanywaga mazezeta na wake zao au ambao huwa wanachanganyikiwa sana na mapenzi utakuta anasema kwamba mimi sijachanganyikiwa ila watu wa nje ndio wanaomuona kwamba huyu jamaa kachanganyikiwa sana kwa yule mwanamke na ukimuuliza mwenyewe anakuambia kwamba sijachanganyikiwa bali nimependa