changanyikiwa

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207
Eti jamami mtu unaweza kuwa umechanganyikiwa
Lakini huhisi au huoni kama umechanganyikiwa??
Kila anayekuzunguka ndugu,jamaa na marafiki wanakwambia your not normal..
lakini we unahisi uko fresh tu...
 
anaechanganyikiwa hua hajijui always ila kuchanganyikiwa kukiisha ndipo anapojijua baada ya kujua au kuona aliyoyafanya kipindi alipochanganyikiwa

napinga hili kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hujijua mwanzoni ila with time hushindwa kutambua kama wanachanganyikiwa
 
napinga hili kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hujijua mwanzoni ila with time hushindwa kutambua kama wanachanganyikiwa
Una elekea unaelewa
na vipi kama unahisi fresh masaa yote
lakini kila anayekuzunguka anasema
u have change a lot..
and u don't think straight...
 
Inawezekana kabisa AD,
Yani unaweza ukawa unafanya jambo wewe unaona upo sahihi kabisa,
huoni ulipokosea katika hicho ukifanyacho, unaona unayo haki kabisa,
Hata mtu akikusema unaona anakuonea. Lakini baada ya muda unaweza ukajitambua,
Au ukajifikiria vizuri ukajikuta unaona kweli nilichanganyikiwa kwa nini nilifanya hivi au kwa nini,
nilikuwa silioni hili?

Nashauri hivi, wakati watu wakikusema sana, umechanganyikiwa ktk jambo fulani,
Jaribu kutafuta nafasi na muda wa kufikiria na kutafakari kile wanachokisema.
Halafu ulinganishe na kile unachokiamini au msimamo wako katika hilo wanalolisema.
Unaweza kujikuta unajitambua mapema kuliko kutokufanya hivyo.
 
kweli kwasababu mtu aliechanganyikiwa huwa anaona anachokifanya ni sahihi kwake na watu wa nje ndio huwa wanaoona kwamba sio sahihi kwa hiyo wanaanza kumwambia kwamba wewe umechanganyikiwa na yeye atakataa wewe angalia wanaume wengi wanaofanywaga mazezeta na wake zao au ambao huwa wanachanganyikiwa sana na mapenzi utakuta anasema kwamba mimi sijachanganyikiwa ila watu wa nje ndio wanaomuona kwamba huyu jamaa kachanganyikiwa sana kwa yule mwanamke na ukimuuliza mwenyewe anakuambia kwamba sijachanganyikiwa bali nimependa
napinga hili kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hujijua mwanzoni ila with time hushindwa kutambua kama wanachanganyikiwa
 
...wanaku judge vibaya hao. kuchanganyikiwa ni kupoteza uwezo wa kujitambua.
Mwenyewe si unajua nini unafanya? Wasikuchanganye bana.

Eti jamami mtu unaweza kuwa umechanganyikiwa
Lakini huhisi au huoni kama umechanganyikiwa??
Kila anayekuzunguka ndugu,jamaa na marafiki wanakwambia your not normal..
lakini we unahisi uko fresh tu...
 
Eti jamami mtu unaweza kuwa umechanganyikiwa
Lakini huhisi au huoni kama umechanganyikiwa??
Kila anayekuzunguka ndugu,jamaa na marafiki wanakwambia your not normal..
lakini we unahisi uko fresh tu...

My dia

Binadamu anafanya maamuzi yote kupitia ktk ubongo ambao ni sehemu ya kuu ya kichwa. Binadamu akishindwa kufanya maamuzi sahihi kama alivyozoeleka basi mara nyingi huwa mtu ana msongo wa mawazo mengi kichwani ambao unaathiri uwezo wa ubongo kufanya kazi sawasawa. Ukiwa na mawazo hayo umakini unapungua, matokeo yake unafanya kazi zako kwa makosa mengi na maamuzi yako pia yanakuwa yana uwalakin na mwishowe watu wanakosa imani na matendo yako hata kama yatakuwa sahihi. Na kama hujayapatia ufumbuzi hayo mambo yanayokupa msongo wa mawazo basi automatically yataendelea kukusumbua kila siku

Tiba kuu ni kufahamu kwanza kitu gani kinakusumbua kimawazo au kiliwahi kukusumbua kimawazo. Then tafuta ufumbuzi wa hayo matatizo ikiwa pamoja na kupata ushauri kutoka sehemu mbalimbali, kama vile hapa JF.
 
Eti jamami mtu unaweza kuwa umechanganyikiwa
Lakini huhisi au huoni kama umechanganyikiwa??
Kila anayekuzunguka ndugu,jamaa na marafiki wanakwambia your not normal..
lakini we unahisi uko fresh tu...

Hata kichaa nayetembea uchi barabarani anajiona yuko sawa, na wale wote anao waona wamevaa nguo anawaona ndio wamechanganyikiwa, inakua hivyo na mara nyingi unajiona wewe unakua uka akili nyingi sana na wengine unawaona mataaira.
 
kweli kwasababu mtu aliechanganyikiwa huwa anaona anachokifanya ni sahihi kwake na watu wa nje ndio huwa wanaoona kwamba sio sahihi kwa hiyo wanaanza kumwambia kwamba wewe umechanganyikiwa na yeye atakataa wewe angalia wanaume wengi wanaofanywaga mazezeta na wake zao au ambao huwa wanachanganyikiwa sana na mapenzi utakuta anasema kwamba mimi sijachanganyikiwa ila watu wa nje ndio wanaomuona kwamba huyu jamaa kachanganyikiwa sana kwa yule mwanamke na ukimuuliza mwenyewe anakuambia kwamba sijachanganyikiwa bali nimependa

Kweli kabisa.
Kwani ukishachanganyikiwa sasa utajua mud huo umechanganyikiwa?
Ukizinduka ndio utakumbuka ulichanganyikiwa.
Mifano ipo mingi kwa haya maisha tuliopo ya kibongo.
Tafakari utajua kama ukichanganyikiwa unajijua!!!.
 
nadhani kuchanganyikiwa kuna viwango. watu hawachanganyikiwi wote kwa level moja. kuna wale wanajielewa, na wengine hawajielewi. Ila all in all, kama wakati wa kufanya jambo unajiskia mwepesi na unatamani ukifanya pale tu unapo kifikiria, na kama unahisi furaha kubwa ya kuact haraka bila kujiuliza sana na kama ukiambiwa sio sawa unakereka sana kupita kiasi basi ogopa: chances are high umeanza kuchanganyikiwa. na sio lazima iwe permanent. kama inatokea mara kwa mara, hata kama mara nyingine husikii hivo, we anza kupata ushauri wa daktari.
 
Hiyo ipo sana.

Jee unaweza wewe mwenyewe kujiona umechanganyikiwa lakini watu wasidhani hivyo?
 
inawezekana kabisa dear wakati mwingine vichwa vinashindwa kubeba yale tunayokutana nayo ,especially pale yanapojirudia rudia waeza kujiona kabisa umekuwa mtu wa aina nyingine au usijitambue mpaka uambiwe na watu wengine.
 
Uwezekano ni mkubwa kuwa wao ndiyo wamechanganyikiwa.
Kama mtu amechanganyikiwa haisaidii hata ukimwambia, manake hatakuelewa.
Sasa kama watu wakikuambia kuwa umechanganyikiwa na ukaweza kuwaelewa (hadi kufikia kujiuliza kama ni kweli) basi hujachanganyikiwa wewe. Bali wao ndiyo wamechanganyikiwa na wanajaribu "ku-cry for help"... Wasaidie ili wasizidi kuchanganyikiwa!

Hii ni kama ilivyo kwa Mlevi kumcheka mwenzake kuwa kalewa, kumbe yeye ndiyo amelewa zaidi...
 
Back
Top Bottom