klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,140
na zaidi ya senks pia nikipewa nitapokea, lakini tusubiri ze finest alog out tutaongea kiover 18Sante sana mkuu nimekuelewa
lakini we ulikuwa unataka senks zangu tu
Hahaha lol
na zaidi ya senks pia nikipewa nitapokea, lakini tusubiri ze finest alog out tutaongea kiover 18Sante sana mkuu nimekuelewa
lakini we ulikuwa unataka senks zangu tu
Hahaha lol
Eti jamami mtu unaweza kuwa umechanganyikiwa
Lakini huhisi au huoni kama umechanganyikiwa??
Kila anayekuzunguka ndugu,jamaa na marafiki wanakwambia your not normal..
lakini we unahisi uko fresh tu...
Hivi ankal tabia hii ya kuingia kwenye nyumba yangu wakati sipo umeanza lini?na zaidi ya senks pia nikipewa nitapokea, lakini tusubiri ze finest alog out tutaongea kiover 18
Sante sana mkuukuchanganyikiwa kupo, lakini kwa definition ipi?? watu wengi uchukulia kuchanganyikiwa kwa namna tofauti..mfano, wengine ukianza kufanya kinyume na matarajio yao basi watakuona umechanganyikiwa hata kama unachofanya ni sahihi. Kubwa ni kuwa kuna dalili za kuonesha mtu kuelekea kuchanganyikiwi-kama wanakwambia na ukaelewa wanachokwambia basi wewe umeanza kuonesha dalili za awali za kuchanganyikiwa, mfano-labda ulikuwa smart sana, lakini ck hizi umeanza kujiachia, umekuwa mwongeaji kupita kiasi na muda mwingine unavyoongea havina mantiki, umekuwa mgonvi sana, unapenda kujitenga na kukaa pekee yako- izi ni baadhi tu za dalili mbaya. Na kimsingi kwako wewe ni ngumu kuelewa kuwa umeanza kuchanganyikiwa- kwani "KUCHANGANYIKIWA NI HALI YA KUKOSA UWEZO WA KUJITAMBUA WEWE PAMOJA NA MATENDO YAKO" kwa uraisi ni KUKOSA AFYA YA AKILI!- ni vema ukaanza kutafuta "USHAURI NASAHA" KWA WATAALAM WA SAIKOLOJIA KABLA MAMBO HAYAJAWA MABAYA MAANAKE mwisho wake ni kutembea uchi na kuokota makopo-kupoteza dira ya maisha, KAMA NI NDUGUYO MTAFUTIE TIBA MAPEMA SANA! IF YOU CAN C ME PM- kesho kuanzia saa 5:00 asubuhi!