Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

Hakuna anaerubuniwa bali watoto wa siku hizi hawana mshipa wa aibu.ni wakware mno.
Hawataki kusoma.
Ukitaka kuujua ukweli nenda hospitali kama MARIE STOPES mwenge upate record za abortion na magonjwa ya zinaa kwa siku wanafunzi wa Ustawi wa jamii kijitonyama.
Unaweza usimpeleke mtoto chuo..
Pia uliza walinzi wa pale chuo upate taarifa.

Yani bila hata rushwa wenyewe wanaomba kufanyiwa hayo mambo.

Wanafanya INVITATION TO TREAT ie wanaacha kila kitu waz ili ushoboke nao wakuweke mtu kati uwape majibu.

Kwa ustawi hadi walezi wamechoka kuona mambo ya hovyo yanayofanywa na wale watoto.

Itafika mahali hata uzao utakuwa shida.

Kuna mmoja nilimuuliza kuhusu abortion÷alisema kama abortion isingekuwepo mneenda kuokota vitoto vingi maeneo ya chuo,

Hatari sana
Wanafumulowq sana marinda hao
Watoto wa kike wakipimwa marinda
Marinda zao ziko open kabisa
Wana tamaa sana

Ova
 
Kwani sisi wengine hatujasoma chuo? Au hatujasoma na hao watoto wa kike?
Ukweli ni kwamba mwanafunzi ndo anatengeneza mazingira ya kutakwa na lecturer, hata uwe mzuri km uko serious na mambo yako na hakuna upenyo lect akakupata, hutosumbuka.

Huyo lect atakutaka km ambavyo atamtaka asiye mwanafunzi, na ukimkataa ataelewa pia, kikubwa ni kuziba mianya ya lect kukupata.
Mwqnqfunzi anavaa mpasuo
Mipaja nje,tako kubwa anamtingishia
Lecture...sasa hapo atamuacha kweli
Lazima mwishowe ataenda kumzibua mtaro

Ova
 
Wanafunzi wenyewe wanachangia wakati mwingine.... wanajipeleka.

Kuna dada mmoja niliwahi kusoma nae, tukafanya test ya kozi Moja inaitwa tax Law, Zaidi ya robo tatu ya darasa tuliscore below 5 out of 20.

Then Kuna kidada kimoja kikamfuata lecturer ofisini kumuomba eti akipe test nyingine ofisini kifanye .... chenyewe kilipata 4, lecturer alichofanya akamchukua akaja nae class akasimulia mbele yake,dada akabaki kulia tu.

Sasa mtu kama Huyo akiliwa jamii inalalamika, Hamna mtu wa kukupa favour buree. Ukitaka kula lazima uliwe hiyo ndo kanuni ya dunia.

Kuna siku Moja nimepanda bus na vitoto vilivyokuwa vinamaliza form six, Vinapingiana kabisa kuwa eti lazima vi date na lecturer au rais wa chuo
 
Si kwamba ninaunga mkono haya yanayoendelea, ila watoto wa kike siku hizi wamekuwa wahuni sana. Wao wenyewe wanakwambia kwenye mikoba yao morning after pills hazikosekani. Wanafanya sana ngono zembe.

Mimi ni mdau kwenye elimu ya juu kwenye chuo kimoja kikongwe hapa nchini. Kwa semista moja, huwa inatokea mabinti wawili hadi wanne kunitaka kimapenzi. Na hao huwa wanakuja wenyewe.

Bahati mbaya sana hakuna anayejali kero za aina hii kutoka kwa KE. Kinachoangaliwa ni usumbufu wa ME kwa KE. Sasa, TAKUKURU itakapochunguza hilo suala, watoe nafasi pia kwa wahadhiri wa kiume nao watoe yao ya moyoni. Mtagundua kwamba hao mnaowatetea ni wachafu kupitiliza.

There's more to life than meets the eye.
 
Si kwamba ninaunga mkono haya yanayoendelea, ila watoto wa kike siku hizi wamekuwa wahuni sana. Wao wenyewe wanakwambia kwenye mikoba yao morning after pills hazikosekani. Wanafanya sana ngono zembe.

Mimi ni mdau kwenye elimu ya juu kwenye chuo kimoja kikongwe hapa nchini. Kwa semista moja, huwa inatokea mabinti wawili hadi wanne kunitaka kimapenzi. Na hao huwa wanakuja wenyewe.

Bahati mbaya sana hakuna anayejali kero za aina hii kutoka kwa KE. Kinachoangaliwa ni usumbufu wa ME kwa KE. Sasa, TAKUKURU itakapochunguza hilo suala, watoe nafasi pia kwa wahadhiri wa kiume nao watoe yao ya moyoni. Mtagundua kwamba hao mnaowatetea ni wachafu kupitiliza.

There's more to life than meets the eye.
Duh,vp unawachakata sana basi

We watafune tu hao maana badaye hawakawi kuwa viongozi au wapo kwenye nafasi fulani
We tandika tu

Ova
 

Hapo zamani kidogo wahadhiri ndio walikuwa wakitongoza na kusumbua wanafunzi na hata kuwanyanyasa kimasomo pale wanapokataliwa. Lakini kwa sasa watoto wa kike ndio wanawasumbua sana wahadhiri tena wanaomba wenyewe kutoa miili yao wakitafuta kufaulu.

Watoto wa kike wa zama hii wanaamini kupitia miili yao wanaweza kupata chochote watakacho, ni tatizo kubwa sana!

Hawasomi wanakesha kwenye starehe na mwisho wakipata masifuri kwenye mitihani yao wanaweka camp kwenye ofisi na simu za wahadhiri wakiwashawishi na kuwategeshea ngono ili wapate alama nzuri.

Nachukia sana kusema hili kwakuwa nina watoto wa kike, ila asilimia kubwa ya mabinti wenye alama nzuri vyuoni, alama zao mashaka sana. Binti ana A ya somo fulani ila vitu vidogo tu kwenye hilo somo havijui.

Hakuna mhadhiri anaweza kumnyanyasa kingono na hata kumfelisha binti makini anayesoma na kuhudhuria vipindi vyake vyote.
 
Kuna dogo alikuwa analazimishwa kumla mkufunzi shoga, mkufunzi alipokataliwa dogo alibakizwa chuo hakuhitimu.

Nilimshauri aende Takukuru maana alikuwa na hadi text za whatsApp sijui aliishia wapi na zaga lake.
 
Hii ni issue ambayo currently inamsumbua mdogo wangu anaesoma St Augustine.
kweli umeshindwa kuisolve hii, mwambie mdogo wako amkubalie, waende lodge ,mkifumania mnamrekodi,, ,,so mkiwa na video zake mdogo wako atapewa favour balaa ili zisivuje
 
Hapa tu ndo unapokosea ila huko juu umeandika vzuri sana. Mkuu amini hivyo ila hali ni mbaya sana tena wanakingiana mpaka vifua
Mkuu kama unamfahamu binti anayenyanyaswa kingono na mkufunzi, muelekeze njia sahihi za kupita ili apate haki na sio kukaa na kusema eti 'wanakingiana vifua' hizo ni zama za hapo zamani.

Sisemi kwamba hakuna wanaonyanyaswa kingono vyuoni ila nasema kwa asilimia kubwa mabinti wa sasa ndio wanaojipitisha wenyewe kwa wakufunzi.

Wewe binti kila dakika unajipitisha kwenye ofisi za wakufunzi, mara unaenda kumsalimia mkufunzi, si hapo unataka akuone ili akutake? Hili la kutafuta ukaribu na wakufunzi huwezi kuliona kwa wanafunzi vipanga wanaosoma kwelikweli kwakuwa hawahitaji ukaribu na wakufunzi ili wafaulu.
 
Hili kila mtu analijua.
Nina rafiki yangu yeye alienda kuomba nafasi hotel moja hapa dsm. Alipofika kule kama kawaida manager akamwambia nipe nikupe. Demu akanipigia nimeambiwa moja mbili tatu. Nikamwambia mshkaj wangu usijaribu utaishia kuwa mtumwa wa ngono, sababu ukimpa ngono ili upate kazi kila atakapokuhitaji lazima ufanye hivyo na huwez kumkatalia sahiv yupo zake anasuka kila sehemu anayoenda wanamtaka ngono. Vyeti kafungia kaamua awe msusi
Nipe namba yake nimuoe
 
Duh,vp unawachakata sana basi

We watafune tu hao maana badaye hawakawi kuwa viongozi au wapo kwenye nafasi fulani
We tandika tu

Ova
Hata sihangaiki nao. Hawa wanafunzi wanapenda 'kiki'. Ukitoka naye, huwa wanatangaza. Yakifika kwenye management, kamati huundwa kuchunguza. Ukibainika, kazi huna. Wahadhiri wengi tu wamefutwa kazi kwa sababu ya haya masuala (violation of code of conduct).
 
Hilo haliwezekani.
Huenda wakawa waongo ila wengi mm naongelea marafik naowafahamu yeye haoni shida kukwambia mtu fulani anataka hiv na hv, tangu anaanza unaona mabadiliko mdogo mdogo anazoea kabsa, inabd umuache tu hata ukiongea nae hawez tena
Wanawake wengi hucheza kitu tunaita 'victim card'. Hata mke wa mtu akijitongozesha kwako, atasema yeye ni mhanga wa mambo fulani ili umuonee huruma. Ndio hawa watoto sasa. Kuna matukio makubwa tu.

Kuna mwanafunzi (KE) aliwahi kuingia kwenye gari ya mhadhiri aende nae kwake akapewe mambo. Mwalimu ilibidi atumie ujanja kumkimbia.

Kuna tukio jingine siwezi lisema sana ila mwalimu alishawishiwa. Alivyojaa, akapigwa tukio na kuwa blackmailed. Ilibidi a comply na demands za mwanafunzi na genge lake ili alinde utu wake.
 
Back
Top Bottom