Changamoto ya matokeo kidato cha nne 2013

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Yupo kijana mmoja kapata Div.0 ya point 43 yenye D-1, E-4 na F-2 ambapo D=5pnts, E=6 na F=7.

Hapo utaona mantiki ya kuwepo kwa Div5. Kwa kuwa NECTA wameongeza alama za 'B+' yenye pointi 2 na 'E' = 6pnts, hivyo kuifanya 'B' iwe pointi 3 na 'F' yenye pnts 7 badala ya 5, je ni haki huyu wa pointi 43 awe divisheni zero sawa na aliyepata 'F' zote = 49pnts?
 
Back
Top Bottom